Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz

Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz

It's just life, sister the sun will rise tomorrow! Piga mziki, tengeneza pesa, iweke bongo kwenye ramani ya dunia!
Shida IPO hqpa, how do yo move on? Mond was, ur man, is ur boss, you belong to WCB music label!
If you decide to breakaway from WCB, Men! You will suffer the same consequences as Harmonize, rich mavoko, rayvanny!
For ur dignity, are you willing to pay that price?! You are used to being on spotlight! Can you live without it!?
 
WCB members wote, sio wa kuwaamnini....haijalishi wametenda nin au wamesema au kuandika nini....sio wa kuwaamini kabisa 🚮
 
 
Huyo si ndo alisema jukwaani "Mond hamuachi hata wampe Mku**du," ana maanisha Mond ni Buruda strike miguu yote yote.
 
Wamelifanya huko Zanzibar [emoji1787]
Duh

Basi hawa wanajuwa kucheza na akili za wabongo
Na kwa akili za wabongo wengi hawa
Watajipigia pesa sana,huku kimoyoni
Moyoni wao wanawacheka tu

Ova
 
Back
Top Bottom