KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Hyo kitu kama vile imechapwa kwenye micro soft word na ikapgwa snapshot ikabandikwa ndo maana ina hvo vi misitari vya rangi nyekundu...
Hvo vimistari huwezi kuviona ukisha post kwenye social network yoyote.
Na hakuna social network yoyote ukiwa unaandika utaona hvo vimistari vya rangi nyekundu vinavyoashiria correction ya ulichokiandika!