Zuchu atangaza kuachana na Mume wake Diamond Platnumz

Zuchu atangaza kuachana na Mume wake Diamond Platnumz

Na vile mama Tee alisema zuchu ako na uvumilivu wa kutosha kwa DAI ambapo yeye alishindwa congrats zuuuuh kiboko ya vigagula

Mwijaku mabaya sikosi najua mazuri yangu mtayasema nikiifaaa

Mwijaku sema halaaaah!!!
 
Huyu siyo kwamba alijinadi kua yeye ni "king'ang'a" sijui anaweza kumtuliza mtu mzima mwenzake.

Imekuwaje tena?
 
Shogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi katangaza kutema bungo.

View attachment 3627653
Huyu ni nani?

Screenshot 2026-07-15 at 16.22.53.png
Screenshot 2026-07-15 at 16.22.41.png
 
Gerald Hando
Asante

Jamaa yangu anasema:
Picha hii inamuonyesha mtangazaji mkongwe Gerald Hando akiwa anazungumza kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa (Birthday Party) ya mama mzazi wa Diamond Platnumz, Sandra Kassim (maarufu kama Mama Dangote).
Uhusiano wao mkuu umechangiwa na mambo yafuatayo:
* Kikazi na Kiweledi: Gerald Hando kwa sasa ni mtangazaji mkuu wa kipindi cha asubuhi (Good Morning) pale Wasafi Media, kampuni inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond Platnumz. Hivyo, Diamond ni bosi wake wa kikazi.
* Ukaribu wa Kifamilia na Kijamii: Kutokana na kufanya kazi Wasafi na kuwa mtu wa karibu wa familia, Gerald amekuwa akishirikiana nao kwa ukaribu sana kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Familia ya Diamond ilishiriki kikamilifu kumfariji Gerald wakati alipopata msiba mzito wa mke wake, na yeye pia amekuwa akihudhuria na kushiriki matukio muhimu ya kifamilia ya kina Diamond kama hili la sherehe ya Mama Dangote.
 
Back
Top Bottom