Una uhakika? Koti usilovaa huwezi kujua chawa waliomoYah unakaa na amani...hana mambo mengi
Una uhakika? Koti usilovaa huwezi kujua chawa waliomoYah unakaa na amani...hana mambo mengi
Hata ww hauna uhakika...so lets us assumeUna uhakika? Koti usilovaa huwezi kujua chawa waliomo
Kitendo cha kuvumilia matukio sio kila Mwanamke ana uwezo huoHata ww hauna uhakika...so lets us assume
😅😅😅Kitendo cha kuvumilia matukio sio kila Mwanamke ana uwezo huo
Mama K anapenda sana Drama ,anapenda sana kuzungumziwa ,kwani kuachana na mtu ni kitu cha ajabu? Aliachana Princess Diana na Charles akaenda kwa Dodi ndiyo itakuwa Zuhuru na Nassibu?Shogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi katangaza kutema bungo.
View attachment 3627653