KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Mawele...kama vile mlikuwa mnapigana kumbo na Zuchu kwa huyo Mondi, uandishi wako unaeleza yoteπShogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi katangaza kutema bungo.
Sawa sisi huku tunaendelea na zoezi letu la kuweka tonetone kwenye kibubu cha cdmShogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi katangaza kutema bungo.
View attachment 3627653
Kiki tu hizo, kavumilia meeengi leo tu mtu kuitwa aaaliyaa, aleee, aalliieer, karibu dear hilo tu aachie ngaziHii ni mara ya pili anatangaza hili.
Nakumbuka first time aliandika..... kuanzia sasa nipo singo
Matahira flani hivi wanaojionaga wao ndio wenye instagram.Ndio kina nani hao huko Daslam?
Haa Wapo Wengine 35 Anatangaza Kuachana Unamtazama Unacheka Tu Na KusonyaNA wanakomenti kwa hudhuni sana , na kwa kuuliza kwa nini imekuwa hivi? Hapo unakuta ni fala yupo 30s. Trash kabisa
Aisee nimeshangaa sana huo uandishi πMawele...kama vile mlikuwa mnapigana kumbo na Zuchu kwa huyo Mondi, uandishi wako unaeleza yoteπ
... mashallah! ... TUNGEKUPATA LINI? πShogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi katangaza kutema bungo.
View attachment 3627653
Wa sauz none?Vile yule sauzi kaacha waache wale maisha
Gazeti lote la Nini π€£π Wanawake bhana π
π€£π€£π€£Hii ni mara ya pili anatangaza hili.
Nakumbuka first time aliandika..... kuanzia sasa nipo singo
πThe last drop of urine doesn't obey gravitational force untill you shake it.
Wanawake hamumpendi mwanamke mwenzenu"Naitwa Zuchu Zuhura kiboko ya vigagulaaaaaaaa....."