Kuwa mwanamke n kazi tosha πGazeti lote la Nini π€£
Haya sasa Ona na huyuShogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi katangaza kutema bungo.
View attachment 3627653
Dduh πThe last drop of urine doesn't obey gravitational force untill you shake it.
Shogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi katangaza kutema bungo.
View attachment 3627653
Ndio mkuu ila ndoa yao sikuelewa wamefungishwa ndoa na shehe wakiwa watatu tu shehe diamond na Zuchu hakuna ndugu yoyote wa pande zote mbili Wala marafiki au majiraniAisee nazeeka. Hawa walikua wamefunga ndoa?
Huyu ni nani?Shogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi katangaza kutema bungo.
View attachment 3627653
Gerald Hando
AsanteGerald Hando
ππππNaitwa Zuchu zuhuraaa kiboko ya vigagulaa
Kajifungua huko na Simba kampost kwahyo wanaosubiria ndoa ife wajipangeππππ
Mimi ningependa nipate Mwanamke kama ZuchuKajifungua huko na Simba kampost kwahyo wanaosubiria ndoa ife wajipange
Yah unakaa na amani...hana mambo mengiMimi ningependa nipate Mwanamke kama Zuchu