sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kwa kweli anacholalamika Zuchu namuelewa sana msanii ameenda sehemu kuinjoi maisha yake anataka privacy na kuinjoi dunia ya kawaida.
Wahudumu wanajaa na camera zao za simu kuomba picha.
Nakumbuka kuna hospital ilitakiwa ilipe hela nyingi kwa Marioo baada ya nesi kuvujisha picha za Marioo na Paula kwa Mange. Wabongo ni washamba sana hatueshimu privacy za watu.
Mtu kaingia club kuinjoi zake kimya kimya utaskia shout-out kwa Lavalava in da house. Wtf
Well said Zuchu.