Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Ubaya Zuchu hana Appeal kwa slayers kama Nandy.. Maana Nandy anatengeneza clean image kama ya Beyonce, family woman ambaye hataki negative spotlight. Ila zuchu wanavyomtengeneza kama bad girl sidhani kama itamsaidia sana maana alipokuwa innocent alipendwa zaidiThis.
Nakubali kabisa, tena kwa hivyo viingereza alivyoandika hapo sidhani kama ni yeye, ni PR team hiyo wanajaribu ku-appeal kwa posh ladies.
Sasa hizi stunt za kupiga watu na mic kama cardi B zinaweza kumtengenezea negative image. Na team yake ni kama inapitia mkeka wa Rihanna, Cardi, Nicki na Lil Kim kumtengeneza. Kuanzia lifestyle hadi mavazi. Wangeumiza kichwa zaidi