TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Na walivyo wafupi sasa..😀Huwa nikikutana na hao wasanii sitaki hata kuwaangalaia mara mbili.
Nashangaa wanaowashobokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na walivyo wafupi sasa..😀Huwa nikikutana na hao wasanii sitaki hata kuwaangalaia mara mbili.
Nashangaa wanaowashobokea
RAMADAChakula kizuri utakipata kwenye migahawa. Hotel gani hapa Dsm ina chakula kizuri kushinda waterfront au levant au fishmonger?
Hapo levant chakula cha bei ya chini wanaanzia sh ngapi au ndio kikombe cha chai elfu 5? Maana niliona page yao insta pazuri sana hapoChakula kizuri utakipata kwenye migahawa. Hotel gani hapa Dsm ina chakula kizuri kushinda waterfront au levant au fishmonger?
Nafikiri unaweza pata chips ya elfu 10 yani zege. Ila vyakula vingi ni wastani wa 30kHapo levant chakula cha bei ya chini wanaanzia sh ngapi au ndio kikombe cha chai elfu 5? Maana niliona page yao insta pazuri sana hapo
Shukrani sana sinza pazuriNafikiri unaweza pata chips ya elfu 10 yani zege. Ila vyakula vingi ni wastani wa 30k
HakunaChakula kizuri utakipata kwenye migahawa. Hotel gani hapa Dsm ina chakula kizuri kushinda waterfront au levant au fishmonger?
aje akemiChakula kizuri utakipata kwenye migahawa. Hotel gani hapa Dsm ina chakula kizuri kushinda waterfront au levant au fishmonger?
Pamoja mkuuShukrani sana sinza pazuri
Walikuwa wanazomewa na wahuni wa Temeke, waliogeuza ushindani wa kimuziki kuwa vita. Washamba Kweli wale jamaa. Walichelewa sana kujielewa.Kabisa.hao mashabiki ndo wanasikiliza nyimbo zake na kudownload kwenye platform mbali mbali za mziki na yeye ndo anapata hela.au hajui kuwa mashabiki ndo wanamuweka mjini?hawaoni akina Messi wanafuatwa mpaka uwanjani.?
Wcb wamfundishe msanii wao kuheshimu mashabiki. Mashabiki wakiamua kukushusha ni sekunde tu.awaulize east coast team kipindi wana bifu na tmk wanaume. Jinsi walivyokuwa wanazomewa kwenye majukwaa.
Chai afu 5😂🤣Hapo levant chakula cha bei ya chini wanaanzia sh ngapi au ndio kikombe cha chai elfu 5? Maana niliona page yao insta pazuri sana hapo