Zuchu awachana watu wa kwenye migahawa kisa kumnyima faragha

Zuchu awachana watu wa kwenye migahawa kisa kumnyima faragha

Chakula kizuri utakipata kwenye migahawa. Hotel gani hapa Dsm ina chakula kizuri kushinda waterfront au levant au fishmonger?
Hapo levant chakula cha bei ya chini wanaanzia sh ngapi au ndio kikombe cha chai elfu 5? Maana niliona page yao insta pazuri sana hapo
 
Hapo levant chakula cha bei ya chini wanaanzia sh ngapi au ndio kikombe cha chai elfu 5? Maana niliona page yao insta pazuri sana hapo
Nafikiri unaweza pata chips ya elfu 10 yani zege. Ila vyakula vingi ni wastani wa 30k
 
Maishani mwangu sijawahi kukutana na mtu maarufu halafu nikamshobokea, siwezi abadan wa asilani
 
Huyu nae ??? kwani wakitataka kukupiga picha ndo nini ? let them ! kama picha mbona nyingi tu unapigwa zingine ukiwa uchi ???
 
Kabisa.hao mashabiki ndo wanasikiliza nyimbo zake na kudownload kwenye platform mbali mbali za mziki na yeye ndo anapata hela.au hajui kuwa mashabiki ndo wanamuweka mjini?hawaoni akina Messi wanafuatwa mpaka uwanjani.?
Wcb wamfundishe msanii wao kuheshimu mashabiki. Mashabiki wakiamua kukushusha ni sekunde tu.awaulize east coast team kipindi wana bifu na tmk wanaume. Jinsi walivyokuwa wanazomewa kwenye majukwaa.
Walikuwa wanazomewa na wahuni wa Temeke, waliogeuza ushindani wa kimuziki kuwa vita. Washamba Kweli wale jamaa. Walichelewa sana kujielewa.
 
Hapo levant chakula cha bei ya chini wanaanzia sh ngapi au ndio kikombe cha chai elfu 5? Maana niliona page yao insta pazuri sana hapo
Chai afu 5😂🤣
Mi najua Cuppcino 8000 paparoti
Levant napapenda ila restaurant za kuwa mitaa flani sio main road napataga uvivu
 
Wabongo hawapendi kuambiwa ukweli
Hata mimi ningekua zuchu ingeniboa kuna muda unatamani ku enjoy view lowkey ila sasa naomba picha naomba picha mara upigwe picha za kutojijua inaboa bwana! Nao watu wanatamani kula kwa amani
 
Back
Top Bottom