mountain climber
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 311
- 461
Mambo Zuchu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnayemzungumzia background yake ni akina Mwajuma ndio maana anabana huko huko. Hana sababu ya kulalamika anazongwa. Mbona siku hizi ukweli umegeuzwa kuwa chuki?Haunaga akili umejaa chuki ndio zinaongozaga fikra zako.
Sawa kabisa, ajue ukishakuwa kwenye level hiyo atemee hayo na yeye ainhie kwenye mfumo huo..Ana hoja ya msingi ila kashindwa kuiwasilisha kwa staha, kaiweka kwa majivuno na kiburi kwamba anatambua yeye ni nani haitaji kuambiwa hilo anakoenda.
Lakini mpenzi Zuchu, furahia nyakati hizi unazoziona ni usumbufu kwani huwa zinaisha.
Yuko wapi Linah? Anatamani aupate huo unaouona ni usumbufu hivi sasa lakini wakati haurudi.
Chuki na wivu kwa mtoto wa kike zinashangazaMnayemzungumzia background yake ni akina Mwajuma ndio maana anabana huko huko. Hana sababu ya kulalamika anazongwa. Mbona siku hizi ukweli umegeuzwa kuwa chuki?
Kwa Michael Jackson wao wahangaike tu mkuu lkn hawatofanikiwa kamwe Ile ilikuwa ni level nyingine kabisa hapa duniani kwenye upande wa mziki kiujumla.Ni kweli white youths wanampenda sanaaa sanaaa Ila black communities hazimuelewi popote walipo.
Wanachoniboa ni kumforce kuvunja records zote Ila apate tag ya best musician of all time ndio maana huwa wanamlinganisha sana na whitney na Michael Jackson lakini sidhani kama atafikia level yao ya umaarufu hususani MJ
Tatizo hata wakimpa Taylor Swift hizo tuzo na pesa. Ila kuwa global icon au mtu maarufu zaidi duniani, sidhani kama atafikiaKwa Michael Jackson wao wahangaike tu mkuu lkn hawatofanikiwa kamwe Ile ilikuwa ni level nyingine kabisa hapa duniani kwenye upande wa mziki kiujumla.
Hata mimi naunga mkono hoja ya privacy kwa celebrities. Christian Ronaldo alikuwa anakula kwenye mgahawa mmoja kwa kipindi kirefu sana alipokuwa Real Madrid kwasababu alikuwa ana keep low profile. Siku wahudumu wajinga wakagundua yupo hapo na kuanza kumghasi akaacha kwenda pale!View attachment 3121823
Kwa kweli anacholalamika Zuchu namuelewa sana msanii ameenda sehemu kuinjoi maisha yake anataka privacy na kuinjoi dunia ya kawaida.
Wahudumu wanajaa na camera zao za simu kuomba picha.
Nakumbuka kuna hospital ilitakiwa ilipe hela nyingi kwa Marioo baada ya nesi kuvujisha picha za Marioo na Paula kwa Mange. Wabongo ni washamba sana hatueshimu privacy za watu.
Mtu kaingia club kuinjoi zake kimya kimya utaskia shout-out kwa Lavalava in da house. Wtf
Well said Zuchu.
Siyo wivu ni swala la classChuki na wivu kwa mtoto wa kike zinashangaza
Haunaga akili umejaa chuki ndio zinaongozaga fikra zako.
Huwezi piga picha na trump akiwa mezani na sahani ya chakula restaurant. Hivi kwa nini usiondoe huo ujinga kichwani?Wewe na maBoss wako ndiyo mazoba ,watu wanaomba picha na kina Obama/Trump mabilionea kwa USD $ na wanakubali ndiyo ije kuwa huyo zuhura wa mwananyamala kwa wala ngada?
Tabia ya zuchu inaonyesha uhalisia wa wa zanzibar wana chuki wana dharau wana kibri na ni wabaguzi yaani sijui msikitini wanaenda kufanya nini kuna siku waliniletea ujinga na mshikaji wangu tukataka kuwatembezea dozi washenzi sana wazanzibar.
Hivi huyo swift nae kapitiwa na pididi ??Hiyo ni kazi ya publicists tu mkuu, mara ya kwanza Zuchu alitambulishwa kama innocent musician Ila kwa sasa kuna Image shift kumfanya female version ya Diamond.
Kwa hiyo hizo attitude za kidiva zipo well planned kumuonesha kama msanii mwenye Exceptional class and fame.
Hata Diamond kwa sasa ndio anachofanya kutengeneza ukubwa wa kuonekana kama yeye ndio industry. Kama vile Taylor Swift anachofanya kwa sasa
View attachment 3121823
Kwa kweli anacholalamika Zuchu namuelewa sana msanii ameenda sehemu kuinjoi maisha yake anataka privacy na kuinjoi dunia ya kawaida.
Wahudumu wanajaa na camera zao za simu kuomba picha.
Nakumbuka kuna hospital ilitakiwa ilipe hela nyingi kwa Marioo baada ya nesi kuvujisha picha za Marioo na Paula kwa Mange. Wabongo ni washamba sana hatueshimu privacy za watu.
Mtu kaingia club kuinjoi zake kimya kimya utaskia shout-out kwa Lavalava in da house. Wtf
Well said Zuchu.
Huwezi piga picha na trump akiwa mezani na sahani ya chakula restaurant. Hivi kwa nini usiondoe huo ujinga kichwani?
Asijifanye hajui gharama za kuwa celebrity, huo ndiyo ulahalisia na iko hivyo dunia nzima.View attachment 3121823
Kwa kweli anacholalamika Zuchu namuelewa sana msanii ameenda sehemu kuinjoi maisha yake anataka privacy na kuinjoi dunia ya kawaida.
Wahudumu wanajaa na camera zao za simu kuomba picha.
Nakumbuka kuna hospital ilitakiwa ilipe hela nyingi kwa Marioo baada ya nesi kuvujisha picha za Marioo na Paula kwa Mange. Wabongo ni washamba sana hatueshimu privacy za watu.
Mtu kaingia club kuinjoi zake kimya kimya utaskia shout-out kwa Lavalava in da house. Wtf
Well said Zuchu.
Huwa wanajisahau hata kitendo cha yeye kuandika ni kama kuwavunja moyo hao mashabiki zake imagine umem follow halafu unaona huo ujumbe je siku umuone live utataka picha tenaAna hoja ya msingi ila kashindwa kuiwasilisha kwa staha, kaiweka kwa majivuno na kiburi kwamba anatambua yeye ni nani haitaji kuambiwa hilo anakoenda.
Lakini mpenzi Zuchu, furahia nyakati hizi unazoziona ni usumbufu kwani huwa zinaisha.
Yuko wapi Linah? Anatamani aupate huo unaouona ni usumbufu hivi sasa lakini wakati haurudi.