Zuchu awachana watu wa kwenye migahawa kisa kumnyima faragha

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066


Kwa kweli anacholalamika Zuchu namuelewa sana msanii ameenda sehemu kuinjoi maisha yake anataka privacy na kuinjoi dunia ya kawaida.

Wahudumu wanajaa na camera zao za simu kuomba picha.

Nakumbuka kuna hospital ilitakiwa ilipe hela nyingi kwa Marioo baada ya nesi kuvujisha picha za Marioo na Paula kwa Mange. Wabongo ni washamba sana hatueshimu privacy za watu.

Mtu kaingia club kuinjoi zake kimya kimya utaskia shout-out kwa Lavalava in da house. Wtf

Well said Zuchu.
 

Hiyo ni kazi ya publicists tu mkuu, mara ya kwanza Zuchu alitambulishwa kama innocent musician Ila kwa sasa kuna Image shift kumfanya female version ya Diamond.

Kwa hiyo hizo attitude za kidiva zipo well planned kumuonesha kama msanii mwenye Exceptional class and fame.

Hata Diamond kwa sasa ndio anachofanya kutengeneza ukubwa wa kuonekana kama yeye ndio industry. Kama vile Taylor Swift anachofanya kwa sasa
 
Anatafuta attention tu hakuna kitu hapa.
 
This.

Nakubali kabisa, tena kwa hivyo viingereza alivyoandika hapo sidhani kama ni yeye, ni PR team hiyo wanajaribu ku-appeal kwa posh ladies.
 


Ahaaa😁🤔
 
Ana hoja ya msingi ila kashindwa kuiwasilisha kwa staha, kaiweka kwa majivuno na kiburi kwamba anatambua yeye ni nani haitaji kuambiwa hilo anakoenda.

Lakini mpenzi Zuchu, furahia nyakati hizi unazoziona ni usumbufu kwani huwa zinaisha.

Yuko wapi Linah? Anatamani aupate huo unaouona ni usumbufu hivi sasa lakini wakati haurudi.
 
Hii comment aisome DR HAYA LAND huyu humwambii kitu kuhusu dimond hata ukisema atakuona hakuna unachojua ila yeye ndio anajua zaidi kwa hio hata hii comment yako ataipuuza maana anaona km vile unamwambia jambo la uzushi tu
 
Ngoja tuone atafika alipofika Linah kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…