Zuchu awachana watu wa kwenye migahawa kisa kumnyima faragha

This.

Nakubali kabisa, tena kwa hivyo viingereza alivyoandika hapo sidhani kama ni yeye, ni PR team hiyo wanajaribu ku-appeal kwa posh ladies.
Ubaya Zuchu hana Appeal kwa slayers kama Nandy.. Maana Nandy anatengeneza clean image kama ya Beyonce, family woman ambaye hataki negative spotlight. Ila zuchu wanavyomtengeneza kama bad girl sidhani kama itamsaidia sana maana alipokuwa innocent alipendwa zaidi

Sasa hizi stunt za kupiga watu na mic kama cardi B zinaweza kumtengenezea negative image. Na team yake ni kama inapitia mkeka wa Rihanna, Cardi, Nicki na Lil Kim kumtengeneza. Kuanzia lifestyle hadi mavazi. Wangeumiza kichwa zaidi
 
Kama angekuwa hapendi spotlight asingekuwa anajisogeza kwa diamond ili itengenezwe stunt..
Yeah anaweza kuwa na point kiubinadamu lakini kiuhalisia kabisaa anafurahia hiyo attention.

Zingine ni attitude za kidiva tu
 
Hii pumbavu nyingine. Anajikuta celebrity halafu anakwenda kula chips vumbi na kutarajia VIP treatment.

Wanyakyusa wenzangu walifanya vyema kabisa kumpopoa. Walimdhihirishia nafasi yake hasa kwenye jamii kuwa ni takataka isiyo na thamani.

Anajikuta Rihanna wakati ni nguchiro moja tu inayotrend kwa nguvu ya kuwa kipusa wa demu wa diddy.
 
Exactly. Kaiwakilisha ki ngebe ngebe kama vile uwepo wake ni msaada mkubwa kwa jamii.
 
But they need to march to her reality. She is far from being a diva. If anything she fits an image of a pauper.
 
Wakimsusa asije konda kwa stress.

Pia wahudumu na wafanyabiashara waache ushamba. Staa akinunua kitu kwao full picha utadhan kapewa kwa msaada au kapunguziwa bei pakubwa kumbe wala.

Anyway zuchu siku nyingine povu toa kwa kiswahili,hicho kithungu akina tiffa tu huwa unawakimbia au kubaki ukicheka cheka kama trekta lililoharibika breki
 
Siku atavunja simu ya mtu uyo demu,anaonyesha majivuno kabisa aisee😀😀
 
But they need to march to her reality. She is far from being a diva. If anything she fits an image of a pauper.
Wapo busy kumpa sex appeal na hiyo bad girl aura ambayo hana kwa sababu hayupo sexy na nyimbo zake kwa kiasi flani ni nyepesi. Ila naweza kuwaelewa kwa sababu first Lady wa WCB hawezi kuwa kapoa

Kosa hilo hilo naliona kwa Yammy, wapo busy kumfanya sexy symbol kiasi kwamba watu wameanza kumuona yeye kuliko kipaji chake

Japo hao wote wanajaribu kufanya kitu ambacho RAY C alikuwa, the sexy diva who is talented ila bahati mbaya warithi wote hawana hiyo sex appeal ya Ray c
 
Vitako vinalia mbwata.
Kabisa.hao mashabiki ndo wanasikiliza nyimbo zake na kudownload kwenye platform mbali mbali za mziki na yeye ndo anapata hela.au hajui kuwa mashabiki ndo wanamuweka mjini?hawaoni akina Messi wanafuatwa mpaka uwanjani.?
Wcb wamfundishe msanii wao kuheshimu mashabiki. Mashabiki wakiamua kukushusha ni sekunde tu.awaulize east coast team kipindi wana bifu na tmk wanaume. Jinsi walivyokuwa wanazomewa kwenye majukwaa.
 
Kamkopi michael Jackson
 
Ndo maisha waliyochagua hayo, wewe mtu anakuona kwenye TV tu ukikata viuno ghafla anakuona live - lazima wenge lipande tu. Yeye ni celebrity wa kibongo ndo cons zenyewe hizo..atulie tu
 
Yaani Zuchu anapitia the same situation na mimi, yaani mtu unataka upige plate yako utambae, mama lishe anaanza hoo PAGAN siku hizi uonekani, mara imeshuka imepanda, sijui nini, watu wanasema uliisha ukawekwa Segerea, mara sijui ukiondoka uniage, dah. Wewe si una mume wako Buguruni huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…