Zuchu awachana watu wa kwenye migahawa kisa kumnyima faragha

Apewe angalizo....Akienda kula kwenye migahawa ya Mbeya watamrushia makopo
 
Chakula kizuri utakipata kwenye migahawa. Hotel gani hapa Dsm ina chakula kizuri kushinda waterfront au levant au fishmonger?
Una maana unaposema chakula kizuri?Kwenye migahawa na mahotel ni mabaki yanapashwa moto. Chakula fresh kinapatikana nyumbani mkuu.
 
Bahati mbaya naujua wimbo wake mmoja tu na possibly aliutoa zaidi ya miaka kumi nyuma. Huwa naona akizoa grammys kila mwaka ila sijui hata albums zake.

Ila hiyo haiondoi ukweli kuwa anafanya vizuri na uwezo wake kuandika pia unambeba.
Kabisa huyu ni baadhi ya wasanii ambao hana mashabiki wengi Africa ila huko Ulaya,Asia na America huwaambii kitu kuhusu yeye ndoaamna hata Utajiri wake kaupata kwa Mauzo ya Tours tu. Yupo vizuri sana ni full package artist
 
Una maana unaposema chakula kizuri?Kwenye migahawa na mahotel ni mabaki yanapashwa moto. Chakula fresh kinapatikana nyumbani mkuu.
Inategemea unakula migahawa gani.

Kuna migahawa ukila msosi lazima utarudi tu.
 
Kama alikuwa anataka faragha angeenda Hotel za Mbugani huko hakuna kina mwajuma ndala ndefu wala mwanakhamis chuchunge.
 
Kabisa huyu ni baadhi ya wasanii ambao hana mashabiki wengi Africa ila huko Ulaya,Asia na America huwaambii kitu kuhusu yeye ndoaamna hata Utajiri wake kaupata kwa Mauzo ya Tours tu. Yupo vizuri sana ni full package artist
Ni kweli white youths wanampenda sanaaa sanaaa Ila black communities hazimuelewi popote walipo.
Wanachoniboa ni kumforce kuvunja records zote Ila apate tag ya best musician of all time ndio maana huwa wanamlinganisha sana na whitney na Michael Jackson lakini sidhani kama atafikia level yao ya umaarufu hususani MJ
 
Ego
 
Hiyo ni kweli kabisa maana naona juzi kapata Tuzo ya BET na amevunja rasmi rekodi ya Beyonce ya Artist mwenye tuzo nyingi zaidi, kiufupi ni Artist mzuri ila naona kama kuna aina fulani ya Ubaguzi unaendele kwamba hawataki Black artist ndo awe Top musician,

Kwahiyo wameamua kumpaisha Taylor mpaka awe level za juu huko kuliko Black artists,....ndomaana wanampa hata deals nyingi sana ili awe Bilionea kumpita hata Jay Z na najua ni suala la muda tu Jay Z atashuka mpaka namba mbili na Taylor swift ndo atakua muimbaji tajiri zaidi Duniani.
 
Kama alikuwa anataka faragha angeenda Hotel za Mbugani huko hakuna kina mwajuma ndala ndefu wala mwanakhamis chuchunge.
Sijakuelewa mkuu, kwamba atoke kwake mpaka Serengeti akale dinner kisha arudi kwake?
 
Hapo umenisoma na kwa sasa hakuna pop star mweusi wa kumpa tishio kubwa maana Beyonce toka ajikubali weusi wake kwenye lemonade ni kama industry inaanza kumshusha taratibu. Rihanna ambaye ndio mwenye uwezo wa kuuza muziki yupo busy na fenty. Album ya mwisho katoa 2016

Black girls kama SZA nao hawana hizo muscles

Chris Brown kashatemwa na system, the weekend yupo weak. Kwa hiyo hii ndio perfect time ya kutengeneza jina lingine kwenye industry

Ni tofauti na enzi hizo.. Usingeweza tengeneza mtu mbele ya MJ, prince, whitney, Mariah, Ton Braxton, R Kelly etc ambao walikuwa talented haswaa..

Ila kwa sasa industry ni nyeupe kwa taylor
 
Upo sahihi kabisa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…