Zuchu awachana watu wa kwenye migahawa kisa kumnyima faragha

Haunaga akili umejaa chuki ndio zinaongozaga fikra zako.
Mnayemzungumzia background yake ni akina Mwajuma ndio maana anabana huko huko. Hana sababu ya kulalamika anazongwa. Mbona siku hizi ukweli umegeuzwa kuwa chuki?
 
Sawa kabisa, ajue ukishakuwa kwenye level hiyo atemee hayo na yeye ainhie kwenye mfumo huo..
 
Tabia ya zuchu inaonyesha uhalisia wa wa zanzibar wana chuki wana dharau wana kibri na ni wabaguzi yaani sijui msikitini wanaenda kufanya nini kuna siku waliniletea ujinga na mshikaji wangu tukataka kuwatembezea dozi washenzi sana wazanzibar.
 
Mnayemzungumzia background yake ni akina Mwajuma ndio maana anabana huko huko. Hana sababu ya kulalamika anazongwa. Mbona siku hizi ukweli umegeuzwa kuwa chuki?
Chuki na wivu kwa mtoto wa kike zinashangaza
 
Kwa Michael Jackson wao wahangaike tu mkuu lkn hawatofanikiwa kamwe Ile ilikuwa ni level nyingine kabisa hapa duniani kwenye upande wa mziki kiujumla.
 
Kwa Michael Jackson wao wahangaike tu mkuu lkn hawatofanikiwa kamwe Ile ilikuwa ni level nyingine kabisa hapa duniani kwenye upande wa mziki kiujumla.
Tatizo hata wakimpa Taylor Swift hizo tuzo na pesa. Ila kuwa global icon au mtu maarufu zaidi duniani, sidhani kama atafikia
 
Hata mimi naunga mkono hoja ya privacy kwa celebrities. Christian Ronaldo alikuwa anakula kwenye mgahawa mmoja kwa kipindi kirefu sana alipokuwa Real Madrid kwasababu alikuwa ana keep low profile. Siku wahudumu wajinga wakagundua yupo hapo na kuanza kumghasi akaacha kwenda pale!
 
Haunaga akili umejaa chuki ndio zinaongozaga fikra zako.

Wewe na maBoss wako ndiyo mazoba ,watu wanaomba picha na kina Obama/Trump mabilionea kwa USD $ na wanakubali ndiyo ije kuwa huyo zuhura wa mwananyamala kwa wala ngada?
 
PUMBAV sana, walihaha kuutafuta huo umaarufu, wameshaupata wanalialia kero.

KIBURI KINAMTESA HUYU BINTI
 
Tabia ya zuchu inaonyesha uhalisia wa wa zanzibar wana chuki wana dharau wana kibri na ni wabaguzi yaani sijui msikitini wanaenda kufanya nini kuna siku waliniletea ujinga na mshikaji wangu tukataka kuwatembezea dozi washenzi sana wazanzibar.

mkuu vipi povu la nini? ficha chuki zako
 
Hivi huyo swift nae kapitiwa na pididi ??
 
View: https://www.instagram.com/reel/C_Svlepobk4/?igsh=MTdzZXEzNzBkbHFvYw==

Ni mnyama gani
 
Huwezi piga picha na trump akiwa mezani na sahani ya chakula restaurant. Hivi kwa nini usiondoe huo ujinga kichwani?

Tatizo lenu nyinyi wapuuzi mnawachukulia kina Dayamondi na huyo mwajuma ndala ndefu wenu zuhura kama watu ambao VVS wakati ni watu wa kawaida sana....Nimekutolea tu mfano watu wanapiga selfie na Trump ,Elon Musk ,Mark Zuckerberg ,Jay Z alikuja mwananyamala kapiga Picha na Mateja kiroho safi ,ebu acheni uwendawazimu wa kuwapaisha watu ,nyinyi fanyeni kazi yenu tu ya uchawa kwasabu mnalipwa lakini siyo kila mtu amchukulie kama mnavyomchukulia nyinyi ,sisi wengine tunawaona wakawaida tu kwasababu hawana kitu chochote cha maana kilicholeta mabadiliko nchini.
 
Asijifanye hajui gharama za kuwa celebrity, huo ndiyo ulahalisia na iko hivyo dunia nzima.
My thoughts ni kwamba kaandika tu kutengeneza stunt ijulikane kuwa yuko popular kiasi gani.
 
Huwa wanajisahau hata kitendo cha yeye kuandika ni kama kuwavunja moyo hao mashabiki zake imagine umem follow halafu unaona huo ujumbe je siku umuone live utataka picha tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…