Zuchu kavalishwa kofia kwa heshima kuliko msanii yeyote wa kike Tanzania

Wala haya hayatatupeleka kwenye uchumi wa kati ahahaha
 
Fact kaka afadhali wewe pia umeliona Hilo, yaani hakuna mtu ambae haupendi hiyo nyimbo awe upinzani au wapi ni wamoto baraa na ndo number 1 special kwa kampeni
Huu hapa!



Your browser is not able to display this video.
 
Zuchu ni moja kati ya wasanii wa ajabu kuwahi kutokea naweza kusema msanie aliegeukaa super star ndani ya week moja na kua msani Mkubwa ndani ya mwezi moja hivi sasa ukisema uzungumzie wasani wakubwa Tanzania si ajabu ukanza na jina la zuchu
Sehemu pekee ambapo wasani wa kike wanaweza mzidi nipale utakapo sema unataka wasani wakongwee tuu.
 
Fact kaka, inabidi upewe uwaziri wa Sanaa na utamaduni.[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…