Zuchu kavalishwa kofia kwa heshima kuliko msanii yeyote wa kike Tanzania

unajua maana ya current/recent hot uwezi kunambia msanii wa sasa Bora unambie Khadija kopa/jaydee but hao Wana heshima zao, but kwa Sasa upende usipende utauramba mwiko ZUCHU no wamoto.

nandy kwasasa bado Sana kwa zuchu na huu sio ushabiki maandazi Bali namba zinaongea kuanzia kwenye digital platforms zote.

Kama unakuja njoo na fact, usike za uso.

Mwisho, wadau wengi wanamkubali zuchu isipokua wewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huo wimbo hata Tundu anaupenda sana. Mwili wake unataka kucheza lakini maungo yake hayamruhusu.
 
Hivi siku hizi hamna tena habari mpya malejendari wa hii forum maana Era yenu ilikuwa kweli ya Jf celebrities [emoji4]..
wengine tumeshachoshwa na ushabiki wa kipuuzi wa siku hizi
Bora umesema wewe angalau wataelewa
 
kweli kila kitu na zama zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…