Zuchu kavalishwa kofia kwa heshima kuliko msanii yeyote wa kike Tanzania

Zuchu mwenyewe akisoma hii atashangaa

Boring..!
 


Wewe mimi nasikiliza nyimbo za zuchu kuliko hata wewe na ninazipenda pia

Ila sijazaliwa kuwa mjinga kiasi hicho. Pole sana mama anaringa nyumbani ana mtoto wa kike

Wewe unaishi maisha ya kimaskini, kwa akili hizi hauwezi kuwa umetoboa kwa lolote lile
 
Yeah tena ndo kabisa bado mtoto mbichi, naamini anaenda kuushangaza ulimwengu kwa kipaji murua alicho nacho na ananjaa ya mafanikio Kama Boss wake DIAMOND the G. O. A. T
Google inaseme ana miaka 30!..lakini mbona anaonekana wa miaka 23 kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…