Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Mabuno ni nini?Basi sawa
Hata naelewa basi😃😃... nasikia tu watu wanaimbaMabuno ni nini?
Nilimsikia mdogo ako anaimba juzi nikajua umemfundishaHata naelewa basi😃😃... nasikia tu watu wanaimba
Si anasikia huku mtaani jamani😃😃Nilimsikia mdogo ako anaimba juzi nikajua umemfundisha
Bado hajasema, na atasemaaaaMabuno ni nini?
Nguvu za giza hizo...Hii nyimbo ina nguvu za ajabu,nilishangaa kuona inaimbwa na ktoto chenye miaka miwili
Mnapenda sana kuwashutumu wasanii kwa kuharibu maadili ikiwa nyie hao maadili hamyazingatii kwa watoto wenu.Hata naelewa basi😃😃... nasikia tu watu wanaimba
Kwakweli inasikitisha sana yani... sijui tunatakiwa kufanya nini kurekebisha haya 🤦♀️🤦♀️Mnapenda sana kuwashutumu wasanii kwa kuharibu maadili ikiwa nyie hao maadili hamyazingatii kwa watoto wenu.
Sasa hivi, nikikuambia unitajie series bora na unazozipenda utataj...
yanawezekana kuepukikakuna mambo huwezi kuepuka
dah mdomo koma!Hata naelewa basi😃😃... nasikia tu watu wanaimba