Zuchu kuimba MABUNO kuna hatari kubwa kupoteza kizazi kijacho

Zuchu kuimba MABUNO kuna hatari kubwa kupoteza kizazi kijacho

Hapa home tuna dogo toto la mchungaji 4years aga linaimba...
”Mwenzenu mimi sijui kutongoza, Wakijipitisha namwaga helaa"

Afu wengine nilikua nawasikia wanaimba ”Bebi mwagia ndani"

Nikijaribu kuwakanya nahisi kama ndo ntawafundisha matusi naamua niwaache kama nilivowakuta.

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ila too much, ila wanawachunia kwa sababu watawahitaji hapo 25.
 
Mtihan mzito.nimekaa nafanya kaz zang nasikia mtoto wa jiran anaimba hicho hicho.nikawaza yan hawana kabisa creativness zero kabisa.isa matona mpaka leo ukikaa ukamsikiliza unahisi anaimba leo
 
Salaam! Msanii pekee wa kike kutoka wcb amekua akitoa mfululuzo wa nyimbo ambazo kiutamaduni zinaathiri kizazi chetu cha baadae "honey wangu akinuna namkatia mabuno" imagine watoto wangapi wanaimba hii nyimbo?

Ombi langu kwa basata msifungie nyimbo zinazokashif mamlaka tu! Camera yenu imulike upande wa hii lebo na kizazi chake wanaibomoa na kuirarua jamii.
Namtasemaa
 
Acha hela itafutwe mkuu hiyo ndiyo kazi yetu hapa mjini
Watu wanafamilia unategemea awalishe vipi
Wakiimba kuhusu serikali mbovu mnawakamata na kuwabania ridhiki
Wakiimba ngoma za kujiburudisha napenyewe hamtaki sa mnataka wafanye kazi ipi ili wale?
 
Boloo mama boloo
Kwishnei boloo
Japokuwa namchuna, nang’ang’ana humo humo,
Honeyy wangu akinuna, namkatia vibuno
Vibuno, vibuno, vibuno, vibunoooo haniiiii

Hapo wewe umeumia nini? Au huna haniii wa kukukatia vibuno?🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom