Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
Mtakuwa na chuki na Zuchu tu.
Wakati Maua Sama anaimba mwagia ndani na iokote, kuna watu tulikuwa hatumfahamu Zuchu. Bongo flava imejaa nyimbo za matusi matupu hadi kero. Bongo movies nako ni laana tupu.
Halafu wasanii siku zote huangalia hadhira inataka nini ili waendane na soko. Kwahiyo jamii mbovu inapokea sanaa mbovu. Mfano nimefuatilia kidogo sanaa za Rwanda na Ethiopia ambao wana maadili sana katika jamii zao naona zipo safi, si kama za waswahili ambao tunawaza mambo machafu muda wote.
Hao BASATA kama ni kufungia basi wazifungie bongo flava na bongo movies kwa ujumla tuanze upya wote tukiwa siriasi na maadili, kuanzia jamii, serikali hadi hao BASATA wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app