Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bindi yangu ana 2yrs kasoro ghafla naskia anaimba hio nyimbo ya Zuchu kwa ufasaha kabisa nilijipiga kifuani na kusema Kazi ipo. Ikumbukwe sijafunga king'amuzi kabisa sababu ya kuhofia hayo mambo ya kwenye kideo yana athari kwa mtoto ila namuwekea akili akili kwenye flash. Malezi magumu sanaHapa home tuna dogo toto la mchungaji 4years aga linaimba...
”Mwenzenu mimi sijui kutongoza, Wakijipitisha namwaga helaa"
Afu wengine nilikua nawasikia wanaimba ”Bebi mwagia ndani"
Nikijaribu kuwakanya nahisi kama ndo ntawafundisha matusi naamua niwaache kama nilivowakuta.