Zuchu kuimba 'matusi', nimeghafirika sana...

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..

Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive.

Hovyo kabisa...

....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...

Takataka kabisa
 
Sasa hayo matusi ndio yanayowapa kiki WCB na wanamuziki wengine wa Bongo kwasasa.

Hizi nyimbo zilishalaanika muda tu na huyo Zuchu kwa mahali alipo, kuimba matusi ni kama kutoa salamu tu...halafu akienda kwa mzazi/mama yake anaongezewa mengine makubwa zaidi.
 
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..

Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Yanaimba matusi lakini bado wanasurvive.

Hovyo kabisa...

....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...

Takataka kabisa
Haka kadada niliposikia kwamba kamekataa deal la billions kutoka kampuni ya bia kwa sababu dini yake airuhusu,!nilishangaa sana huu unafiki,yaani uislam wake unaruhusu aimbe mashairi yenye matusi,ila kugusa bia haukubali!
Uislam umehalamisha kuimba muziki,
 
Uislam dini moja ya ajabu sana,
Uislam umehalamisha kuimba muziki,
Uajabu wa uislamu uko wapi?
 
Wadau na zile semi porno videos za wanamuziki wa US, UK, South Africa na karibu Western world yote hamzishangai? Zile r&b za wakati ule mlikuwa mkisoma/sikiliza mashairi yake? Mbona ndo soko lenyewe linavyokwenda?

Bila hivyo hutoboi. NDio maana kuangalia mziki kwenye TV ukiwa na watoto wako no kazi Sana Sasa hivi. Kwa hiyo Zuchu ni mfanyabiashara anayekwenda na demand ya soko! Otherwise asingefanya hayo.

Ngoja nisikilize Sikinde ngoma ya Ukae mie Barua toka kwa Mama nipate mashairi yasochuja!
 
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..

Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Yanaimba matusi lakini bado wanasurvive.

Hovyo kabisa...

....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...

Takataka kabisa
Screenshot_2021-08-18-06-32-51-1.png
Matusi ni tafsiri yako kichwani mwako,kuipaka mate hata simu waweza ipaka mate ili ufute kioo kwenye kitambi.
 
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..

Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Yanaimba matusi lakini bado wanasurvive.

Hovyo kabisa...

....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...

Takataka kabisa
Matusi yanachangia kodi akishauza wimbo
 
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..

Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Yanaimba matusi lakini bado wanasurvive.

Hovyo kabisa...

....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...

Takataka kabisa
Hapa tatizo sio Zuchu..tatizo liko kwa producer na barazs la sanaa la taifa
 
wanaoenda kula bata na kuspend hela sio walokole, ni walevi wapenda ngono na wapenda anasa, kwahio lazima uwaimbie kitu kitakachokonga nyoyo zao ili upate show umek money.

inasikitisha ila ndo biashara ilivyo.. huwezi kuuza mabwanga nyakati hizi za vimodo na skinny jeans ukatarajia kufanikiwa na biashara yako ya nguo.

To a normal human being what you see as CHAOS AND CONFUSION, it is AN OPPORTUNITY TO A BUSINESSMAN.. thats why China made friendship with Taliban, because they saw an opportunity to grow economically, but all you see is CHAOS AND CONFUSION.
 
Haka kadada niliposikia kwamba kamekataa deal la billions kutoka kampuni ya bia kwa sababu dini yake airuhusu,!nilishangaa sana huu unafiki,yaani uislam wake unaruhusu aimbe mashairi yenye matusi,ila kugusa bia haukubali!
Uislam dini moja ya ajabu sana,
Uislam umehalamisha kuimba muziki,
Brother kwenye dini hapo naomba utulie kabisa, Utaamsha utaleban muda si mrefu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Wote hao ni zao la MONDI, wanafuata nyayo za role model wao ili nao wafanikiwe kama yeye.
 
Ukimtoa rose muhando, bahati bukuku na wasanii wengine wa gospel ni msanii gani mwingine ambaye haimbi matusi??
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom