Nilijifunza hii double standard ya uislam ama baadhi ya waislamu pale Ruge alipokufa.
Alikiba aliweka picha nyeusi kwenye page yake ya instagram kuonyesha maombolezo ya Ruge Mutahaba. Alipoulizwa kwa nini hakuweka picha ya Ruge akasema uislamu unakataza kumposti marehemu, nikasema okay, kumbe uislamu ulishaona hadi mambo ya sosho media long time ago. Haikuchukua muda akafariki Kibonge, jamaa huyo huyo akamposti, nikajiuliza kwani kibonge sio marehemu ama uislamu unakupa uhuru wa kuchagua cha kufanya na sio cha kufanya?
Sasa huyo binti anasema alikataa ofa ya kampuni ya bia ila anaimba mambo mabovu kuliko mambo ya bia, inashangaza kwa kweli.