Zuchu kuimba 'matusi', nimeghafirika sana...

Zuchu kuimba 'matusi', nimeghafirika sana...

I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..

Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive.

Hovyo kabisa...

....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...

Takataka kabisa
Ni kawaida kwa wcb kuimba matusi
 
Dini inaweza Kuwa Na unafiki.
Mfano Uislam kupitia Kulwani Bila aibu kabisa Wala kuficha u
inawaasa waislam waishi kinafiki Na wasiokuwa waislam...Wawachekee usoni ila moyoni wawatukane.
Huo sio unafiki?
Kajifunze kuandika kwanza.

Ukishajua uje tujadiliane kwa kina.
 
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..

Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive.

Hovyo kabisa...

....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...

Takataka kabisa
Sikiliza kwaya mkuu.. ya keisari mwachie keisari [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mziki wa Kishetani unataka mistari isifie Mbingu,uliona wapi.
Huko walipo na wanachoimba wako sahihi,Sisi watakatifu tuna nyimbo zetu za injili za kusikiliza.
Karibu usikilize hizo
Uko sahihi mkuu , tatizo watakatifu upends kupangia watu maisha
 
wanaosema zuchu anaimba matusi ni wanafiq wakubwa, hawa hawa ndo asubuhi, mchana jion wanashinda porn site wakiwatch hayo matusi.
Sio wanafaki, ata ww unaweza kuangalia porn lakin uwezi angalia porn na.mtoto wako. Kinachotokea kwa wasanii wa leo ni kuanza kuwapandikizia watoto mavitu kabla ya mda wao
 
Sasa anajidai hafanyi matangazo ya wakati anaimba matusi na kuhamasisha UZINZI kupitia nyimbo za matusi.

Uislam una Unafiki sana.
Mm ni mkristu lakin hiyo kauli yako ya mwisho naipinga.
Uislam hauna unafiki wala tatizo maana umejieleza kabsa kipi ni hali kipi haram, tatzo lipo.kwa wanaojiita waislam ndio wanafiki
 
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..

Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive.

Hovyo kabisa...

....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...

Takataka kabisa
Halafu anakataa kufanya matangazo na kampuni za pombe...bich[emoji817]
 
Halafu anakataa kufanya matangazo na kampuni za pombe...bich[emoji817]
Hapo ndipo alipobugi pombe haikwepeki usipoifanyia tangazo directly utaipromote indirectly. Kasahau kuwa kuna videos itatakiwa aonekane anakunywa(inategemea), kasahau kuwa tuzo wanazochukua nyingne zipo sponsored by makampuni ya vilevi, nk
 
Hajielewi huyu...kama hufanyi matangazo ya pombe ambayo ni haram kisa uislam,wakati pia muziki ni haram kwa mujibu wa uislam

Waislam wa nchi hii...[emoji16][emoji16][emoji16] NI HUZUNI KWAKWELI.
 
Hajielewi huyu...kama hufanyi matangazo ya pombe ambayo ni haram kisa uislam,wakati pia muziki ni haram kwa mujibu wa uislam

Waislam wa nchi hii...[emoji16][emoji16][emoji16] NI HUZUNI KWAKWELI.
Tena sio mziki tu ata anavyo vaa nusu uchi napo sijui ajioni
 
Wameuza nafsi zao Kwa Shetani, inawezekana wengine hawajui Ila boss wao atakua anajua. Shetani anawapa Fedha nyingi, umaarufu, nguvu na heshima...wao hawatoi kafara ya damu za watu, wao wanasambaza ujumbe wa shetani duniani, ambao unamletea sana faida shetani maadili kuaribika, maasi kuongezeka, ndoa kuvunjika, starehe na anasa, ushoga n.k

Kama Unataka Kwenda Mbinguni usisikilize nyimbo za duniani, si dhambi Ila zitakupa uvuvio wa kufanya dhambi
 
Back
Top Bottom