Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mrisho Mpoto.Ukimtoa rose muhando, bahati bukuku na wasanii wengine wa gospel ni msanii gani mwingine ambaye haimbi matusi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrisho Mpoto.Ukimtoa rose muhando, bahati bukuku na wasanii wengine wa gospel ni msanii gani mwingine ambaye haimbi matusi??
Wimbo kivipi mkuuQuran:"Muziki Ni Haram"
Also Quran: Ni wimbo
Mimi:[emoji102]
Zuchu pamoja na umaarufu wake na balehe yake bado kimakuzi ni mtoto anayehitaji miongozo mingi hasa kwenye hii ajira yake ya sasaMnasema kizazi hiki kinapenda ngono
[emoji23][emoji23][emoji23]
kwa yanayoendelea kwenye entertainment industry, subiri hiki kinachobalehe sasa hivi
Ukumuacha niga j, prof nae anatukana kwenye nyimbo zake? Marlaw? Daz Nundaz? Mr Nice, Ebo?Ukimtoa rose muhando, bahati bukuku na wasanii wengine wa gospel ni msanii gani mwingine ambaye haimbi matusi??
Yule mama alivyo mswahili ukimwambia hivi unatungiwa nyimbo yakukusutaZuchu pamoja na umaarufu wake na balehe yake bado kimakuzi ni mtoto anayehitaji miongozo mingi hasa kwenye hii ajira yake ya sasa
Na pia tusisahau Zuchu ni zao la single mom ambaye muda mwingi alikuwa kwenye sanaa hasa nyakati za usiku. Hata Zuchu kufika hapo alipo ni jambo la kumshukuru Mungu sana.. Wengi wamefeli.. Hivyo basi Zuchu anahitaji miongozo hasa ya watu wazima wenye weledi na hekima
Hahaha[emoji23]Yule mama alivyo mswahili ukimwambia hivi unatungiwa nyimbo yakukusuta
Watu wazima wenye weledi na hekima ila hawana hela, wanaishi kwenye chumba cha kupanga na kuomba hela kwa watoto zao wakanywe kahawa.Zuchu pamoja na umaarufu wake na balehe yake bado kimakuzi ni mtoto anayehitaji miongozo mingi hasa kwenye hii ajira yake ya sasa
Na pia tusisahau Zuchu ni zao la single mom ambaye muda mwingi alikuwa kwenye sanaa hasa nyakati za usiku. Hata Zuchu kufika hapo alipo ni jambo la kumshukuru Mungu sana.. Wengi wamefeli.. Hivyo basi Zuchu anahitaji miongozo hasa ya watu wazima wenye weledi na hekima
Wengine mabazaziWatu wazima wenye weledi na hekima ila hawana hela, wanaishi kwenye chumba cha kupanga na kuomba hela kwa watoto zao wakanywe kahawa.
Nawe pia acha unafiki! Hata wewe inawezekana yapo mambo unayoacha kwa kuona ni dhambi kwa mujibu wa imani yako lakini haimaanish hutendi dhambi zingine. Hata hao viongozi wa dini na wenyewe huwa wanajiepusha na dhambi hii na kufanya dhambi ile! Yeye amechagua kutotenda dhambi ya kutangaza vileo!!Haka kadada niliposikia kwamba kamekataa deal la billions kutoka kampuni ya bia kwa sababu dini yake airuhusu,!nilishangaa sana huu unafiki,yaani uislam wake unaruhusu aimbe mashairi yenye matusi,ila kugusa bia haukubali!
Uislam dini moja ya ajabu sana,
Uislam umehalamisha kuimba muziki,
Una sifa zote Za wimboWimbo kivipi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule mama alivyo mswahili ukimwambia hivi unatungiwa nyimbo yakukusuta
Zuchu pamoja na umaarufu wake na balehe yake bado kimakuzi ni mtoto anayehitaji miongozo mingi hasa kwenye hii ajira yake ya sasa
Na pia tusisahau Zuchu ni zao la single mom ambaye muda mwingi alikuwa kwenye sanaa hasa nyakati za usiku. Hata Zuchu kufika hapo alipo ni jambo la kumshukuru Mungu sana.. Wengi wamefeli.. Hivyo basi Zuchu anahitaji miongozo hasa ya watu wazima wenye weledi na hekima
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]Sasa mbona sijaelewa ni wimbo gani hasa una hayo matusi.I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..
Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Yanaimba matusi lakini bado wanasurvive.
Hovyo kabisa...
....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...
Takataka kabisa