Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
King kiba na Christian Bella sijawahi kusikia nyimbo wameimba matusi!Bongo fleva yote waniaimba matusi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King kiba na Christian Bella sijawahi kusikia nyimbo wameimba matusi!Bongo fleva yote waniaimba matusi mkuu.
Ndugu mteja, hio "kmmmk" ina maana gani?Hako katoto kanapenda sana kupelekewa Moto kanaonekana kmmmk
Shekh husijidanganye kuwa ni mdogo huyo boss wake kashakunja vizuri sana na anaedelea kwa michezo ya style anayoimba tunaojua mtoto wa tandale kashamuaribu huyo binti.I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..
Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Yanaimba matusi lakini bado wanasurvive.
Hovyo kabisa...
....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...
Takataka kabisa
Utoto mwingi yule plus kichwani zeroNashangaa amekataa milioni 250 kwasababu ya imani yake kufanya promo za pombe huku akihamasisha matusi ,kumchumia tembele ,mara tembele lake laini ,sukari yake imefanyaje ,sasa sijui matusi yamekaaje kwa imani yake.
Tatizo siyo la ZUCHU, tatizo ni la wasikilizaji wa hizo nyimbo, yaani Watanzania. Wengi wao wanapenda sana hayo matusi na wanayafurahia sana tena sana. Mpaka viongozi wa chama na Serikali wanapenda sana hayo mashairi ya akina ZUCHU.I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..
Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Yanaimba matusi lakini bado wanasurvive.
Hovyo kabisa...
....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...
Takataka kabisa
Nafuu umeona hilo.Haka kadada niliposikia kwamba kamekataa deal la billions kutoka kampuni ya bia kwa sababu dini yake airuhusu,!nilishangaa sana huu unafiki,yaani uislam wake unaruhusu aimbe mashairi yenye matusi,ila kugusa bia haukubali!
Uislam dini moja ya ajabu sana,
Uislam umehalamisha kuimba muziki,
Matusi yanaimbwa duniani kote kuanzia ulaya,USA,SA,Nigeria ndo usiseme
Au kwakuwa hawaimbi kiswahili,BASATA wapo wakiona Mambo siyo watachukua hatua
Sasa anajidai hafanyi matangazo na wakati anaimba matusi na kuhamasisha UZINZI kupitia nyimbo za matusi.Wadau na zile semi porno videos za wanamuziki wa US, UK, South Africa na karibu Western world yote hamzishangai? Zile r&b za wakati ule mlikuwa mkisoma/sikiliza mashairi yake? Mbona ndo soko lenyewe linavyokwenda? Bila hivyo hutoboi. NDio maana kuangalia mziki kwenye TV ukiwa na watoto wako no kazi Sana Sasa hivi. Kwa hiyo Zuchu ni mfanyabiashara anayekwenda na demand ya soko! Otherwise asingefanya hayo. Ngoja nisikilize Sikinde ngoma ya Ukae mie Barua toka kwa Mama nipate mashairi yasochuja!
Hiv mtu wa 92/93 nae ni mtt???Shekh husijidanganye kuwa ni mdogo huyo boss wake kashakunja vizuri sana na anaedelea kwa michezo ya style anayoimba tunaojua mtoto wa tandale kashamuaribu huyo binti.
Kwani wale Mungu aliwateketeza kwa Moto na maji kilikuwa kizazi gani?Mnasema kizazi hiki kinapenda ngono
[emoji23][emoji23][emoji23]
kwa yanayoendelea kwenye entertainment industry, subiri hiki kinachobalehe sasa hivi
Deal la bei gani eti🤔🤔🤔Haka kadada niliposikia kwamba kamekataa deal la billions kutoka kampuni ya bia kwa sababu dini yake airuhusu,!nilishangaa sana huu unafiki,yaani uislam wake unaruhusu aimbe mashairi yenye matusi,ila kugusa bia haukubali!
Uislam dini moja ya ajabu sana,
Uislam umehalamisha kuimba muziki,
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Masharti hayo nothing else...!! Umaarufu hawakupi kiboya
Wana mikataba na nguvu za gizaI'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..
Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Yanaimba matusi lakini bado wanasurvive.
Hovyo kabisa...
....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...
Takataka kabisa
Mi sizijui nyimbo zake sijawahi mfuatilia,ila hii nyimbo yake ya nyumba ndogo imenishangaza!Haka kadada niliposikia kwamba kamekataa deal la billions kutoka kampuni ya bia kwa sababu dini yake airuhusu,!nilishangaa sana huu unafiki,yaani uislam wake unaruhusu aimbe mashairi yenye matusi,ila kugusa bia haukubali!
Uislam dini moja ya ajabu sana,
Uislam umehalamisha kuimba muziki,
Mbona alikataa dili la TBL kuwa linakinzana na dini Yake ?Brother fuatilia mambo ya record labels duniani pote utaona anachokifanya zuchu aidha kwa hiyari yake au pasipo hiyari yake ni kawaida
Msanii katika record label ni bidhaa, kinachohitajika ni mauzo kupitia njia yoyote ile aidha kumtengenezea drama, kuimba nyimbo za aina flani au kumtengenezea image flani.
ukitegemea record label ijali maadili na miongozo kuliko kutengeneza pesa..utakuwa hujazijua vizuri kaka
Nadhani ubinadamu wetu ndio shida zaidi. Mfano wote tunajua rushwa ni dhambi lkn viongozi wa dini na sisi sote tunatoa rushwa, tunasema uongo kwa Sana, tunaiba kwa dizaini tofauti na kupooza makosa kwa Majina tofauti tofauti, utasikia jamaa kapiga mzigo mrefu halafu unaoneokana mjanja Sana.Sasa anajidai hafanyi matangazo ya wakati anaimba matusi na kuhamasisha UZINZI kupitia nyimbo za matusi.
Uislam una Unafiki sana.
Hana unafiki wowote,pengine wewe mkuu umetafsiri vibaya.nilishangaa sana huu unafiki,y
Sasa hapa alichokifanya yeye wewe umeufanya ndio uislamu jambo ambalo mtu mwenye mawazo mazuri hatakiwi kufanya.,yaani uislam wake unaruhusu aimbe mashairi yenye matusi,ila kugusa bia haukubali!
Dini ya ajabu kwa hili hili la zuchu kukataa huku na kukubi kule au ni dini ya ajabu kwa mambo mengine tukiachia jambo hili mkuu ?Uislam dini moja ya ajabu sana,
Fact! Though sipo kwajili ya kumtetea (kumkingia kifua) ZuchuNawe pia acha unafiki! Hata wewe inawezekana yapo mambo unayoacha kwa kuona ni dhambi kwa mujibu wa imani yako lakini haimaanish hutendi dhambi zingine. Hata hao viongozi wa dini na wenyewe huwa wanajiepusha na dhambi hii na kufanya dhambi ile! Yeye amechagua kutotenda dhambi ya kutangaza vileo!!