[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38] umenichekesha kiutan utan tuView attachment 1896434Matusi ni tafsiri yako kichwani mwako,kuipaka mate hata simu waweza ipaka mate ili ufute kioo kwenye kitambi.
Basi kapumbavu ka karne. Ka qumer kamojaHaka kadada niliposikia kwamba kamekataa deal la billions kutoka kampuni ya bia kwa sababu dini yake airuhusu,!nilishangaa sana huu unafiki,yaani uislam wake unaruhusu aimbe mashairi yenye matusi,ila kugusa bia haukubali!
Uislam umehalamisha kuimba muziki,
Nakubaliana na wewe kabisa. Waislamu tuna huo upunguani sana.Nilijifunza hii double standard ya uislam ama baadhi ya waislamu pale Ruge alipokufa.
Alikiba aliweka picha nyeusi kwenye page yake ya instagram kuonyesha maombolezo ya Ruge Mutahaba. Alipoulizwa kwa nini hakuweka picha ya Ruge akasema uislamu unakataza kumposti marehemu, nikasema okay, kumbe uislamu ulishaona hadi mambo ya sosho media long time ago. Haikuchukua muda akafariki Kibonge, jamaa huyo huyo akamposti, nikajiuliza kwani kibonge sio marehemu ama uislamu unakupa uhuru wa kuchagua cha kufanya na sio cha kufanya?
Sasa huyo binti anasema alikataa ofa ya kampuni ya bia ila anaimba mambo mabovu kuliko mambo ya bia, inashangaza kwa kweli.
Sawa mkuu,,
Mwache aendelee kupaka mate itelezee..
Huo upuuzi ulififisha muziki wa Tanzania some decades ago eti waimbe nyimbo za ukombozi na kukawa na bendi kibao za jeshi matokeo yake watu wakahamia kwenye nyimbo za the then Zaire ambazo hata haieleweki wanaimba madudu gani kwa sababu ya ugeni wa Kilingala.Tunataka nyimbo za kutuhamasisha kilimo,umoja,upendo
Usishangae wazenji kugawa tigo ni kawaida sana inamaana husikii kila leo mtoto wa fulani kaliwa tigo halafu ni midingi kabisa ndio inayopenda vyakunyea hivyo kwahiyo zuchu anaona kama chupi na tako tuI'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..
Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive.
Hovyo kabisa...
....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...
Takataka kabisa
hold on, kasoro kiba, mwana fa na wengineBongo fleva yote waniaimba matusi mkuu.