Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Kati ya hawa wafuatao kuna musician ?
1. Chris Brown
2. Drake
3. Justin Timberlake
4. R Kelly
5. Alicia Keys
Alicia Keys kuna nyimbo zake niliwahi muona anapiga piano hivyo yes ni musician, R Kelly naye nahisi ni musician kama kuna musical instrument anapiga ila sina uhakika.

Hao wengine sidhani kama ni musicians, Drake ni rapper ila CB na JT ni singers.
 
Pitia kwa mangi pata 1 baridiiiiih nakuja kulipa, upo sahihi haswaaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woyoooooooooh wapeeeh hawa ukweli wajue, unajua kunifurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Lokole hujuagi lolote kuhusu Wcb sema uwa una kiherehere na kimbelembele Ngoma ina karibu masaa matatu we unasema hajatoa

Siyo hiyo jamaa aliyoiweka hapo
Ngoma ambayo ametoa official ni Wanna hiyo aliyopost huyo jamaa hajaitoa.
 
Hongera zake umaarufu ataupata, follower atapata. Ila autumie vizuri in a positive way. Ila YouTube yake chini ya wasafi means hatopata kipato chote. Kwa promo zote cha kwake kutakuwa kidogo mno kikubwa kutaingia kwenye kampuni
Ajifunze kujiongeza mwenyewe
 
Ila jina kachagua baya nae, zuchu ndio jina gani sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…