Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Alicia Keys kuna nyimbo zake niliwahi muona anapiga piano hivyo yes ni musician, R Kelly naye nahisi ni musician kama kuna musical instrument anapiga ila sina uhakika.Kati ya hawa wafuatao kuna musician ?
1. Chris Brown
2. Drake
3. Justin Timberlake
4. R Kelly
5. Alicia Keys
Hao wengine sidhani kama ni musicians, Drake ni rapper ila CB na JT ni singers.