Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Kati ya hawa wafuatao kuna musician ?
1. Chris Brown
2. Drake
3. Justin Timberlake
4. R Kelly
5. Alicia Keys
Alicia Keys kuna nyimbo zake niliwahi muona anapiga piano hivyo yes ni musician, R Kelly naye nahisi ni musician kama kuna musical instrument anapiga ila sina uhakika.

Hao wengine sidhani kama ni musicians, Drake ni rapper ila CB na JT ni singers.
 
Mnamu-overrate Sana Ruby na akiskia hivo ndo Bichwa Linazidi Yaani. .... Kipaji anacho ndiyo hatujakataa ila it's Too Much! Kwani Sauti ndo Nini? Yaani unaanzaje kumweka Vee na Ruby Kwenye kundi moja?

Suala La sauti ni "Subjective" kulingana na taste ya msikilizaji ndo maana hta Davido na sauti Yake km Chura Wa Bwawani lakini We Can Say Kwa Sasa Ndo Ameshikilia Keys za Mziki wa Afrika.

Bongo hakuna msanii mkubwa wa kike kama Vee. Period. Japo namueshimu Sana Jide.

Alafu mtoa Mada Pale Wasafi Una hisa Kiasi Gani?
Pitia kwa mangi pata 1 baridiiiiih nakuja kulipa, upo sahihi haswaaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnazareth Hamna Utofauti wa hivyo mzee. NI Propaganda Tu Hizo Na Twisting Ya Language.

Kwa hyo Ruby Ni Mwanamuziki mzuri Kumshinda Vee kwa sababu Ruby Ana sauti Kali kuliko Vee? Does that even make sense?

Ukiwa Mwanamuziki upende usipende utaingia tu kwenye Kundi La wasanii. Msanii ni general term comprising wachoraji, wachongaji, waigizaji, wanamuziki etc. Kwa hyo Uwezi Kuwa Mwanamuziki ukakataa Cheo Cha Usanii.

Both Vee na Ruby ni wanamuziki na wasanii utofauti ni Ile branding Tu na Fan base ambayo Vee Kamuacha Huyo Ruby A Mile Away.

Talking Of Sauti Kuna Wimbo Vee Kaimba Unaitwa "Never Ever" Opera Version kaicheki umetoka last year I think alafu utaona ye ni Mwanamuziki au msanii.

Vee is Underrated.
Woyoooooooooh wapeeeh hawa ukweli wajue, unajua kunifurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Lokole hujuagi lolote kuhusu Wcb sema uwa una kiherehere na kimbelembele Ngoma ina karibu masaa matatu we unasema hajatoa

Siyo hiyo jamaa aliyoiweka hapo
Ngoma ambayo ametoa official ni Wanna hiyo aliyopost huyo jamaa hajaitoa.
 
Hongera zake umaarufu ataupata, follower atapata. Ila autumie vizuri in a positive way. Ila YouTube yake chini ya wasafi means hatopata kipato chote. Kwa promo zote cha kwake kutakuwa kidogo mno kikubwa kutaingia kwenye kampuni
Ajifunze kujiongeza mwenyewe
 
Ila jina kachagua baya nae, zuchu ndio jina gani sasa.
 
Back
Top Bottom