Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Sijui mimi ndio sijui Mziki. Ila kiukweli wafuatao sijawai kuelewa wanachoimba
Ve Money
Lavalava
Rayvan
Maromboso sijui Mboso khan
Wapo wengi sanaa
Mbona uliowataja ni wasanii wanaofanya vizuri ukimtoa Vanessa mdee ambaye amewekeza kwenye mapenzi
 
Hata Rayvanny analia lia
Rayvanny anabadilikabadilika wiki iliyopita katoa ngoma ya kisingeli miss buza Kuna wakati anafanya ngoma za kuchangamka Kuna wakati anafanya ngoma za kubembeleza ila kwa Mario na aslay wanafanya ngoma za kulia lia
 
Vanessa kafika mbali ila kwa kipaji cha ruby, akikubali kujishusha plus nice management. Anaweza kupita alipofika vee..

hata Yemi alikubali kuwa Ruby is a great vocalist "hope you know what it means"
Yeah Vee Money kinachomsaidia pia ni exposure aliyonayo, ila kwa sauti nzuri bongo sijaona kama Ruby sema tu kiburi chake ndiyo kinamfifisha.
 
Back
Top Bottom