Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake.

Kungwi Sexless hajafurahishwa na undumila kuwili huu.

20220827_235448.jpg
 
Ni personal point of views, kila mtu anakuwa na maoni binafsi ya ndani kabisa juu ya kitu fulani zote zinaweza kuwa dhambi lakini kuna dhambi nyingine ataona ni extreme.

Out of topic, that's some nice ass view right there!
I'm satisfied.
 
Back
Top Bottom