Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa bongo

Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa bongo

Mtoa mada Kuna uzi "wa dawa ya kumsaidia mtu mwenye tabia za kishoga..."
Nenda kaupitie huenda ukapata mawili matatu
 
Kwani nani anashindana naye

Sent using Jamii Forums mobile app
Konde boy chali Kwa huyu manzi , sa sjui angeweka wimbo kwenye channel ya ibra nafkr ingekuwa majanga kabisa angekuwa namba 40 trending huko....yaan konde boya na umaarufu wake ana went down Kwa huyu manzi , something is wrong, WCB wakiamua kukusupport bhana , wapinzani Hata wafanyeje utapaa tuuu 😁
 
Kwa mujibu wa YouTube ambayo ndio platform fair kwa sasa Tanzania kupima nguvu ya msanii.

Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa.

Amefanikiwa kukamata chati za youtube kwa akaunti yake mwenyewe na nyimbo yake mwenyewe bila mbeleko.

Nilisikia mtaalam mmoja wa mambo ya muziki akisema Zuchu amekuja kuichukua bongofleva yake.

"Chozi dibwi dibwi nachanganyikiwa navilio sishikiki/ Nipo magharibi lizamapo jua wewe upo mashariki."

Moja ya mistari ninayoipenda sana kwenye ngoma yake ya Nisamehe.View attachment 1456630

Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo una siku 5 hata 1m haujafikisha huu ni utopolo
 
Wimbo una siku 5 hata 1m haujafikisha huu ni utopolo
Mkuu mbna kuna nyimbo nying za Kondeboy zinakaa Hata 2 weeks hazjafika 1mil , Kwa uchanga alio nao huyo manzi si haba, kuna dude la quarantine zuchu kaua mle , ibra akasome , 😀
 
Mkuu nashukuru sana kwa uzi huu... Yani umeniwahi..
Pongezi ziende kwa management.

I love that song.

This girl is MONEY.
 
Back
Top Bottom