Zuchu ni true definition ya wife material

Zuchu ni true definition ya wife material

The best female musician in east and central Africa
zuchu mara ya kwanza anakuambia anaingia WCB kipindi bado hajatangazwa akaingiziwa Milioni7 kwenye akaunti yake, Halafu alikuwa yupo mlimani city alipiga kelele vibaya baada ya kuona meseji. ILA ni msanii mzuri sana wakike, anachomahinda ayra Star ni lugha tu anayotumia inafika mbali na kusikika na wengi
 
Kabla hujaamua kuoa mke ,,
kwanza muangalie vizuri mama mkwe wako kuanzia shepu hadi tabia zake.
Hiyo ndy picha halisi ya mkeo ..
 
Gusanisha nyama kwa nyama aaaah


Kwichi kwichi chumbani haziishi kichwani hasa pale unapokua mbali namiiii

chochea kuni kwa kishindo jiko lako ni miiiii
unipe jotojoto bebi kwenye baaridiiiii


nionyeshe niweke......

By the way,,wife material
Muache maua sama, huwa namkubali sana.
 
Back
Top Bottom