Zuchu uwezo anao mkubwa habebwi na lebo

Zuchu uliposema unakuja jf kujipigia promo nilijua unatania Dada......
 
Acha kutukana watu, wewe kama unapenda hiphop basi utakuwa mvuta bangi, mtumia madawa ya kulevya, mwendawazimu, tahira kidogo, mnywa gongo na machimpumu!! Usitake kuchagulia watu nyimbo za kusikiliza !!
Anataka kila nyimbo aikubali Kwanza yeye ndo wengine tuione kali!
 
Kama bado hujamkubali demu wangu Zuchu.....naomba ukasikiliza kibao chake flani kinaitwa "kwaru"
 
Nyie mpo maofisini mnapiga pesa....watoto wa watu wameamua nao kujiajiri katika vipaji vyao mnawaletea chuki na wivu
 
Nenda tena kasome, ndio urudi hapa
 
Ni Kweli ana uwezo mkubwa sana wa kujamiiana, nimeprove.
 
Hakuna lolote promo tu ndo zinambeba mtu anaimba nyimbo zote kama taarabu afu mnasema habebwi....diamond kala hasara kwa zuchu hamna la maana alilofanya bora angemchukua RUBY anajua kuimba sana ni vile hajapata tu CONNECTION YA KUELEWEKA
 
Sasa wewe unaanzaj kusema diamond kala hasara kwa zuchu while zuchu ktk mauzo ya nyimbo, na views tangia kaanza game yuku juu kushinda RUBY unaemtaja hapa
 
Hakuna lolote promo tu ndo zinambeba mtu anaimba nyimbo zote kama taarabu afu mnasema habebwi....diamond kala hasara kwa zuchu hamna la maana alilofanya bora angemchukua RUBY anajua kuimba sana ni vile hajapata tu CONNECTION YA KUELEWEKA
Ruby ana sauti ila ni mbovu wa mashairi , pili sio fighter , tatu nidhamu mbovu , ungesema angalau maua Sama.... WCB wanataka mtu fresh ambaye wataweza kumcontrol , hawa wengine washasikika wanavunga wanajua , dk mbili Tu utasikia kakimbilia Media pinzani kusema ananyonywa, mara anatumikishwa na blah blah kibao refer Mavoko ....

Zuchu kajitahidi Sana , kama ni kupiga kaz anapiga haswaa... So busy huyo kisura, mpak sasa ni ambassador wa makampuni takriban manne.... Na anaingiza pesa ndefu tuu , Diamond kaula japo imemtoka pesa nyingi Sana kumpromote , kitu kingine mwanamke ni mwanamke tuu bila support huchomoki.... Hakuna mwanamke anayeweza kustand alone hakunaaa....lazima wawepo wananaume wa kumpambania background
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…