Zuchu vs Nandy, mpambano umewaka moto

Exactly 😊
 
Wakati zuchu anabebwa na misukule yooteeee ya wachafu koge(kile chumba saiv kipo motoo kompyuta simu zikifanya kazi kuongeza vieeeeewwwwwssss). Nandy yupo na mashabiki wake na bill pekee

Wasalimie watoto wa kaka ako diamond kwa zari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
zuchu usikate tamaa.roho mbaya zipo tu.
Tangu enzi za mzee Adam na wanae.
Kaza moyo.
Waulize wasanii wa kiba na harmonize vipi wao hawabebwi? Mbona hawafiki popote.?.
 
Wakati zuchu anabebwa na misukule yooteeee ya wachafu koge(kile chumba saiv kipo motoo kompyuta simu zikifanya kazi kuongeza vieeeeewwwwwssss). Nandy yupo na mashabiki wake na bill pekee
HUJUI HATA UNACHOKIANDIKA NI NINI,MABIBI WENZIO WANALEA WAJUKUU WEWE UNALEA CHUKI
 
Sasa zuchu amefka 1 mil kwa siku 2,nandy siku moja mpaka sasa laki 2 views, kmahesabu nandy kesho hawez fika 1 mil,ILA NGOMA YA NANDY KALI KULIKO YA ZUCHU
 
Wanatanzania hapa ndipo tunapokosea

wasanii wote ni watanzania

Lengo lao ni kutoa burudani kwa wasikilizaji ili tupate burudani

Sasa hii tabia ya kulinganisha na kupambanisha wasanii ina lengo gani?

Tuache ushamba "musiki ni burudani"
 
Lengo ni kuua sanaa ya wasanii walio nje ya wachafu fc.
Kila anayechomoza ni adui kwao
Wanatanzania hapa ndipo tunapokosea

wasanii wote ni watanzania

Lengo lao ni kutoa burudani kwa wasikilizaji ili tupate burudani

Sasa hii tabia ya kulinganisha na kupambanisha wasanii ina lengo gani?

Tuache ushamba "musiki ni burudani"
 
Wakati zuchu anabebwa na misukule yooteeee ya wachafu koge(kile chumba saiv kipo motoo kompyuta simu zikifanya kazi kuongeza vieeeeewwwwwssss). Nandy yupo na mashabiki wake na bill pekee
Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…