Zuchu vs Nandy, mpambano umewaka moto

Zuchu vs Nandy, mpambano umewaka moto

zuchu kaingia namba 1 baada ya masaa mangap jiulze[emoji3] ...hapo winner unamjua tayar..lakin pia views zinasoma ngapi tayar jibu unalo....

By the way kuwafananisha hawa watu wawil ni makosa...mziki anaofanya Nandy na zuchu ni tofaut...kila mtu ana ladha yake..

Huu ujinga wa ku compare watu unafanya mwingine atembelee kiki ya mwenzie...tuache kila mtu apambane na hali yake.

Ndo yale yale ya Diamond kufananishwa na walala hoi..mwisho na wao wanatembelea kiki sasa bila kazi....

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Exactly 😊
 
Wakati zuchu anabebwa na misukule yooteeee ya wachafu koge(kile chumba saiv kipo motoo kompyuta simu zikifanya kazi kuongeza vieeeeewwwwwssss). Nandy yupo na mashabiki wake na bill pekee

Wasalimie watoto wa kaka ako diamond kwa zari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
zuchu usikate tamaa.roho mbaya zipo tu.
Tangu enzi za mzee Adam na wanae.
Kaza moyo.
Waulize wasanii wa kiba na harmonize vipi wao hawabebwi? Mbona hawafiki popote.?.
 
Wakati zuchu anabebwa na misukule yooteeee ya wachafu koge(kile chumba saiv kipo motoo kompyuta simu zikifanya kazi kuongeza vieeeeewwwwwssss). Nandy yupo na mashabiki wake na bill pekee
HUJUI HATA UNACHOKIANDIKA NI NINI,MABIBI WENZIO WANALEA WAJUKUU WEWE UNALEA CHUKI
 
Sasa zuchu amefka 1 mil kwa siku 2,nandy siku moja mpaka sasa laki 2 views, kmahesabu nandy kesho hawez fika 1 mil,ILA NGOMA YA NANDY KALI KULIKO YA ZUCHU
 
Wanatanzania hapa ndipo tunapokosea

wasanii wote ni watanzania

Lengo lao ni kutoa burudani kwa wasikilizaji ili tupate burudani

Sasa hii tabia ya kulinganisha na kupambanisha wasanii ina lengo gani?

Tuache ushamba "musiki ni burudani"
 
Lengo ni kuua sanaa ya wasanii walio nje ya wachafu fc.
Kila anayechomoza ni adui kwao

Back
Top Bottom