mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Ikiwa ni saa chache baada ya Zuchu kupitia page yake ya Facebook aliwaeleza washabiki wake malalamiko zidi ya kudhalilishwa na ustadh Jumaa yeye na familia yake kuhusu kuruhusu kila wakati kushikwa nyeti na diamond pia kuvaa vichupi kinyume na maadili ya dini yake ya kiislam. Washakunaku walitupia maneno makali na wakimkumbusha jinsi mama yake alivyozalilisha wenzake kwa kusema yeye amezaa wengine wamekunya na alivyojidai kutoa mimba saba . Walimuonyq asiende maakamani naye avumilie yatapita kwa kuwa mama yake alivyotukana jamii naye hakushitakiwa.