Zuchu wa WCB ashukiwa kibabe na wanamizengo alimtuhumu Ustadh Kumdhalilisha huku akikumbushwa Mamayake kudhalilisha wakina mama

Zuchu wa WCB ashukiwa kibabe na wanamizengo alimtuhumu Ustadh Kumdhalilisha huku akikumbushwa Mamayake kudhalilisha wakina mama

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Ikiwa ni saa chache baada ya Zuchu kupitia page yake ya Facebook aliwaeleza washabiki wake malalamiko zidi ya kudhalilishwa na ustadh Jumaa yeye na familia yake kuhusu kuruhusu kila wakati kushikwa nyeti na diamond pia kuvaa vichupi kinyume na maadili ya dini yake ya kiislam. Washakunaku walitupia maneno makali na wakimkumbusha jinsi mama yake alivyozalilisha wenzake kwa kusema yeye amezaa wengine wamekunya na alivyojidai kutoa mimba saba . Walimuonyq asiende maakamani naye avumilie yatapita kwa kuwa mama yake alivyotukana jamii naye hakushitakiwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20220913-052059_Lite.jpg
    Screenshot_20220913-052059_Lite.jpg
    144.8 KB · Views: 22
Alishajidhalilisha mwenyewe kwa picha za kuacha matako wazi wazi....eti anataka kuje ga msikiti....ataswali nani?
Kwani hivi usipojiweka uchi uchi hupendezi.....sasa watu wamechungulia wamegundua ukinenepa utakuwa Kama kondoo
 
Hivi huyu jamaa si alikuwaga na mawe imekuwaje naye siku hizi kawa kama Mwijaku Manake kipindi kile alikuwa naye akiwa support wasanii karushwa sana ila siku hizi kawa mtu wa hovyo.
 
Hivi huyu jamaa si alikuwaga na mawe imekuwaje naye siku hizi kawa kama Mwijaku Manake kipindi kile alikuwa naye akiwa support wasanii karushwa sana ila siku hizi kawa mtu wa hovyo.
Alikuwa sponsor na sasa kageuka kawa chawa, kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
 
Nahisi kama nimeingia choo cha kike. ..kama rijali nimehudhuria party ya mashoga vile......Anyways, Bye
 
Haaaa mie nshafika kijiweni half an hour ago
Kwani uongo akinenepa SI atakuwa kama kondoo
Na domo anakomba utamu wooote bado mapeema.
Mama yake mwenyewe hana hiyo heshima.
Yule mtoto wake marehemu punga omari amemlea pale mnyamala huku akichakazwa na mibasha hovyo hovyo mpk kuolewa.
Ustadh juma labda alipita humo ndo mana anawachambua.
 
Back
Top Bottom