Tetesi: Zuhra Yunus ndiye Mkurugenzi mpya wa Azam TV

Aliyekuwa mtangazaji nguli wa BBC Swahili, Bi Zuhra Yunus ametundika daruga za utangazaji wa BBC tangu Ijumaa tarehe 14/01/2022 na kuhamia rasmi Azam TV kama Mkurugenzi mpya kuchukua nafasi ya Charles Hillary aliyeteuliwa na Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar kuwa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano Ikulu. Zuhra ameondoka BBC baada ya kuitumikia idhaa hiyo kwa kipindi cha miaka 14. Tukumbuke kwamba Charles Hillary naye alitokea BBC kabla ya kuja Azam TV. Karibu nyumbani Bi Zuhra.

View attachment 2082904

Katika kazi zake za uandishi wa habari na utangazaji akiwa BBC, Zuhra amewahi kuwahoji watu mashuhuri wakiwemo marais, wasanii na wanasiasa mbalimbali. Mmojawapo wa wanasiasa waliowahi kuhojiwa naye ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani Profesa Paramagamba Kabudi (a.k.a Profesa Majalala) kama unavyoweza kumsikia kwenye kipande cha mahojiano hapo chini.

View attachment 2082902

MAONI YANGU
Binafsi namkubali sana mtangazaji huyu nguli kutoka anga za Tanzania na ninamjivunia sio tu kwa kuwa ni mtanzania mwenzangu bali kwa sababu ya kazi yake ya utangazaji iliyotukuka. Kwa kweli ameipeperusha vema bendera ya Tanzania. Ni nadra sana kumpata mtangazaji mwenye karba ya Zuhra hapa nchini.

Nawasilisha.​
Hata kama ni tetesi ila ni KAMBA
 
Niliskia zuhura ni bikra Hana mume wala mtoto... Nikaanza kujiuliza moyoni inawezekanaje hataki kabisa wanaume? Au ni shemale nini?
 
Yani palag
Aliyekuwa mtangazaji nguli wa BBC Swahili, Bi Zuhra Yunus ametundika daruga za utangazaji wa BBC tangu Ijumaa tarehe 14/01/2022 na kuhamia rasmi Azam TV kama Mkurugenzi mpya kuchukua nafasi ya Charles Hillary aliyeteuliwa na Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar kuwa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano Ikulu. Zuhra ameondoka BBC baada ya kuitumikia idhaa hiyo kwa kipindi cha miaka 14. Tukumbuke kwamba Charles Hillary naye alitokea BBC kabla ya kuja Azam TV. Karibu nyumbani Bi Zuhra.

View attachment 2082904

Katika kazi zake za uandishi wa habari na utangazaji akiwa BBC, Zuhra amewahi kuwahoji watu mashuhuri wakiwemo marais, wasanii na wanasiasa mbalimbali. Mmojawapo wa wanasiasa waliowahi kuhojiwa naye ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani Profesa Paramagamba Kabudi (a.k.a Profesa Majalala) kama unavyoweza kumsikia kwenye kipande cha mahojiano hapo chini.

View attachment 2082902

MAONI YANGU
Binafsi namkubali sana mtangazaji huyu nguli kutoka anga za Tanzania na ninamjivunia sio tu kwa kuwa ni mtanzania mwenzangu bali kwa sababu ya kazi yake ya utangazaji iliyotukuka. Kwa kweli ameipeperusha vema bendera ya Tanzania. Ni nadra sana kumpata mtangazaji mwenye karba ya Zuhra hapa nchini.

Nawasilisha.​

Yani palagamanda Mzee wa asili ya jalala naye Ni mtu maarufu kuhojiwa?
 
Mabaharia wa bongo wamefurahi sana walishidwa kumzamia alivyo kua ngambo sasa amakuja mwenyewe
Kama kuna kaukweli hivi kwa mbali! [emoji848] Maana hata huu uzi wenyewe umeletwa na Baharia mwenzao tpaul! [emoji3062]

Inawezekana kweli wamefurahia!
 
Sijui, unatoka first world unakuja kwenye "mavi". Labda mshahara ni mkubwa kuliko BBC and this is most likely anyway!
Umahiri wake unakoma atakapo tua Tanzania maana uhuru hata wa kumhoji mtu utakuwa umepungua by 80% kwa politics za hapa na Samia
 
Aliyekuwa mtangazaji nguli wa BBC Swahili, Bi Zuhra Yunus ametundika daruga za utangazaji wa BBC tangu Ijumaa tarehe 14/01/2022 na kuhamia rasmi Azam TV kama Mkurugenzi mpya kuchukua nafasi ya Charles Hillary aliyeteuliwa na Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar kuwa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano Ikulu. Zuhra ameondoka BBC baada ya kuitumikia idhaa hiyo kwa kipindi cha miaka 14. Tukumbuke kwamba Charles Hillary naye alitokea BBC kabla ya kuja Azam TV. Karibu nyumbani Bi Zuhra.

View attachment 2082904

Katika kazi zake za uandishi wa habari na utangazaji akiwa BBC, Zuhra amewahi kuwahoji watu mashuhuri wakiwemo marais, wasanii na wanasiasa mbalimbali. Mmojawapo wa wanasiasa waliowahi kuhojiwa naye ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani Profesa Paramagamba Kabudi (a.k.a Profesa Majalala) kama unavyoweza kumsikia kwenye kipande cha mahojiano hapo chini.

View attachment 2082902

MAONI YANGU
Binafsi namkubali sana mtangazaji huyu nguli kutoka anga za Tanzania na ninamjivunia sio tu kwa kuwa ni mtanzania mwenzangu bali kwa sababu ya kazi yake ya utangazaji iliyotukuka. Kwa kweli ameipeperusha vema bendera ya Tanzania. Ni nadra sana kumpata mtangazaji mwenye karba ya Zuhra hapa nchini.

Nawasilisha.​
Hayati Magufuli aliwahi kukimbia kuhojiwa na zuchu, wakati mwenzake Lowassa akaishia kusema Zuchu anamuonea baada ya maswali magumu kumkalia kooni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom