Orlando_
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 662
- 1,209
Utakuja kuelewa siku moja..Hao ndo binadam bwana,alivokua hajaolewa wanamsema kua haoelew,now kaolewa et kaolewa kufunika kombe. Kaz kwel kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuja kuelewa siku moja..Hao ndo binadam bwana,alivokua hajaolewa wanamsema kua haoelew,now kaolewa et kaolewa kufunika kombe. Kaz kwel kwel
YesuuBora atakata mzizi wa fitna maana walimwengu walishamuhusisha na ukoboaji
Shogaree nitakuchangia mamaNa yangu nitatangaza ili mnichangie...harusi tunataka ila hela hakuna😔
Hongera zaoMkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi.
Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.
View attachment 2463819
Fumbuka ndio Nani mkuuuHii ndio Taarifa ya sasa mitandaoni , kwamba Msemaji wa Ikulu ya Tanzania , ambaye pia ni Mtangazaji wa zamani wa BBC , Zuhura Yunus , amefunga pingu za maisha na ndugu Fumbuka Nkwabi Mwanakilala .
Namfahamu Fumbuka , maana niliwahi kusoma naye mahali fulani , ni mtu poa sana na ni Mtulivu .
Tunawatakia Wanandoa hawa wapya kila la heri .
MmeanzaFumbuka ndio Nani mkuuu
Kuwaridhisha binadamu ni kazi jamani....Hao ndo binadam bwana,alivokua hajaolewa wanamsema kua haoelew,now kaolewa et kaolewa kufunika kombe. Kaz kwel kwel
Utapata wako wa kuendana nae na michango itapatikana tu.Na yangu nitatangaza ili mnichangie...harusi tunataka ila hela hakuna😔
😂❤nakutegemea sana cuteShogaree nitakuchangia mama
Huyu kaolewa tu kufunika kombe na nafasi ya kazi aliyopo hii ni kwa waliosomea Cuba.
Ninae mkuu,ila ndo hatuna helaUtapata wako wa kuendana nae na michango itapatikana tu.