Walimwengu gani? Ni fikra zako tu za kipuuzi.Bora atakata mzizi wa fitna maana walimwengu walishamuhusisha na ukoboaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimwengu gani? Ni fikra zako tu za kipuuzi.Bora atakata mzizi wa fitna maana walimwengu walishamuhusisha na ukoboaji
Ondoa wawazo ya kipumbavu hapa. Eti unasikia wakati ni fikra zako za hovyohovyo. Unacreate imagination kuridhisha nafsi yako ya fikra potofu halafu unasingizia watu hapa.nasikia huyu dada ni "ntu" wa michezo ya upinde wa mvua.
Subiri dada zako waolewe ndio watapendeza zidi kuwaombea wasizeekee nyumbaniSijui kwanini mavazi ya harusi ya waislamu huwa hayawapendezi.
Yanakuaga maneno ya mkosaji, hakuna mtu asiyependa awe na mwenza pembeni, upweke sio sifa hata kidogo.Yeye mwenyewe alishasema kwenye media kuwa hataki kuolewa wala kuzaa
😂😂😂😂🚶🚶Nilicheka sana
unajua kuwa kimya pia ni jibu. Pale ulipohisi ni upuuzi ungepita kimya, ila ni simu yako na mtazamo wako hivyo siwezi kukupinga.Walimwengu gani? Ni fikra zako tu za kipuuzi.
Kabisa yaanImesha hiyo my love.atakae kuwa wa kwanza kuolewa ataanza kumchangia mwenzake😍
Weka ushahidYeye mwenyewe alishasema kwenye media kuwa hataki kuolewa wala kuzaa
Waislam wakifunga ndoa huwa wanakuwa na mikwara mizito kweli kweli! Ni kawaida kumkuta bwana harusi ameweka kiunoni bisu kubwa aina ya jambia!Sijui kwanini mavazi ya harusi ya waislamu huwa hayawapendezi.
Kwakweli....yanakua yamepoaaa..Sijui kwanini mavazi ya harusi ya waislamu huwa hayawapendezi.
Nenda youtube nadhan alihojiwa na salamaWeka ushahid
Uwiii😆😆😆😆😆Waislam wakifunga ndoa huwa wanakuwa na mikwara mizito kweli kweli! Ni kawaida kumkuta bwana harusi ameweka kiunoni bisu kubwa aina ya jambia!
Sijui ndiyo wanawaiga ndugu zao Waarabu!!
Unaamin alimaanisha hahhaHuyu jamaa kapotea,huyo mwanamke alikuwa hapendi kuolewa,jamaa kajichanganya
Najua jamaa atakuwa kamforce sana,najua kakubali tu ili jamii isimshangae kuwa kwanini hana mumeUnaamin alimaanisha hahha
Katafute clip za clouds alizokuwa anahojiwa huko mjini YouTube kama huwezi amini amini unachoamini weweWeka ushahid
Kweli kabisa naskia walimtaftia ili aondoe aibu ila maji yalishamkataa kabisa angejikuta yuko nchi kavuHuyu kaolewa tu kufunika kombe na nafasi ya kazi aliyopo hii ni kwa waliosomea Cuba.
Kivp kwamba hakua tayari auHuyu kaolewa tu kufunika kombe na nafasi ya kazi aliyopo hii ni kwa waliosomea Cuba.