Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

Waislam wakifunga ndoa huwa wanakuwa na mikwara mizito kweli kweli! Ni kawaida kumkuta bwana harusi ameweka kiunoni bisu kubwa aina ya jambia!

Sijui ndiyo wanawaiga ndugu zao Waarabu!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii picha ni NKWABI akiwa kashika msalaba ktk mazishi ya baba yake mzazi mzee FUMBUKA NG'WANAKILALA. Inamaa na kijana NKWABI kabadili dili kwa ajili ya kumuoa huyo bibi au basi!!
Screenshot_20221230-223042_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom