Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

Yeye mwenyewe alishasema kwenye media kuwa hataki kuolewa wala kuzaa
Kumbe, basi bila shaka baada ya kupewa kazi ofisi ile vikao vikawa vikali mpaka mwenyewe akasalimu amri.

Vikao vya 'ndoige' yaani akienda huku wanae akiingia huku wako nae..akienda juu wanae akienda chini wanaye.
 
Waislam wakifunga ndoa huwa wanakuwa na mikwara mizito kweli kweli! Ni kawaida kumkuta bwana harusi ameweka kiunoni bisu kubwa aina ya jambia!

Sijui ndiyo wanawaiga ndugu zao Waarabu!!
hahahahahahahah, tukiachana na mambo ya yanga hua unafurahisha mkuu
 
Eh bisu tena! sasa wewe inakukera nini kubeba hilo bisu? Na wewe beba jembe kwenye harusi yako. Mbona wahaya wanakuja na majani ya migomba na fimbo sijui na mazagazagga gani pale harusini na hamusemi neno>
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom