Kwa miaka yote sikuwahi tambua kwamba Mzee Nkwabi alikua mkristo. Tumeishi nao Oysterbay ,wao waliishia Hill road ( Now Yesser Arafat st), kabla ya kuhamia Botswana ,ambapo waliishia nyumba mbayo baadae alihamia Mzee Liundi ambayo ipo jirani na nyumba aliyo ishi Mzee Apson.
Fumbuka ni mwislamu ziku zote , ninajua hivyo saabu tume kua wote OBay , hivyo namjua na kama baba yao alikua Mkristo basi watoto walifuata dini ya mama yao ambayo ni ya Kiislamu na mama yao ni Mzanzibari.
Kwahiyo Fumbuka sio marioo , ni mtoto wa kishua , aliye okea ushuani .