johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkurugenzi Ikulu ni nafasi kubwa sanaNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ni cheo Kikubwa kuliko Mkurugenzi-ki msingi amepanda cheo.
Katibu Mkuu>>Naibu Katibu Mkuu>>>Mkurugenzi>>>>Mkurugenzi Msaidizi.
Si kila uhamisho ni mtu kaborongaWakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)...
ππππ Ww hamna kitu kichwan!.Povu linakutoka ukiwa wapi Mkuu, kama nimekosea rekebisha.... Kutoka Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu chini ya Waziri Mkuu anakuwa amepanda?
Huna kitu kichwanMkurugenzi Ikulu ni nafasi kubwa sana
Umeeleza vizuri ila hapo kwamba akitoka hapo anakwenda kuwa Naibu Waziri ni UongoKama kawaida ya mimbulula ya JF, imejaa kamasi na tope kichwani
Deputy Secretary wa Wizara ni mdogo kuliko Director wa Wizara?, sasa ikiwa Huyo katibu wa Wizara hayupo nani anakaimu hio nafasi? na ukitoka kwenye Ukatibu ni unakwenda kuwa Naibu Waziri, baada ya hapo ni kifuatacho ITV
Umeshafura ππππ₯Huna kitu kichwan
Swali zuri sana iloKwanini usimuulize huyo mama?
salva ndo aliimudu vema hiyo nafas.Mtu pekee aliyeitendea haki kurugenzi ya habari ni Msigwa, alijua kum-brand boss wake, japo alikuwa chinja chinja
Kumuelewesha chizi kama ww ni kazUmeshafura ππππ₯
Sijasema akitoka hapo anaeenda kuwa Naibu Waziri, na hata hivyo pia inawezekana akawa Naibu Waziri, muda sio mrefu anaenda kugombea ubunge huko kwao Zenj, na ni kama kumsukuma mleviUmeeleza vizuri ila hapo kwamba akitoka hapo anakwenda kuwa Naibu Waziri ni Uongo
Mkurugenzi wa nini?Kumuelewesha chizi kama ww ni kaz
1.Waziri
2.Naibu waziri
3.Katibu mkuu
4.Naibu katibu mkuu
5.Mkurugenzi(Kama alivyokuwa zuhura)
6.Naibu mkurugenzi
Anaendesha bodaboda sikuhizisalva ndo aliimudu vema hiyo nafas.
Ila inaonekana umekomaa sana kiakili πππ nimekujibu kiukali kidogo ila naona umejibu kistaarabu.ππππ kwahiyo kukosea hapa tu ndio nna hewa kichwani, acha hizo Mkuu
Haijalishi wote ni wakurugenz ila majukumu tofauti.Mkurugenzi wa nini?
Hata Boss wa TISS ni Mkurugenzi πππ
πππππππππHaijalishi wote ni wakurugenz ila majukumu tofauti.