Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?
Povu linakutoka ukiwa wapi Mkuu, kama nimekosea rekebisha.... Kutoka Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu chini ya Waziri Mkuu anakuwa amepanda?
😂😂😂😂 Ww hamna kitu kichwan!.
Ipo hv
1.Waziri
2.Naibu waziri
3.Katibu mkuu
4.Naibu katibu mkuu
5.Mkurugenzi(Kama alivyokuwa zuhura)
6.Naibu mkurugenzi
 
Kama kawaida ya mimbulula ya JF, imejaa kamasi na tope kichwani
Deputy Secretary wa Wizara ni mdogo kuliko Director wa Wizara?, sasa ikiwa Huyo katibu wa Wizara hayupo nani anakaimu hio nafasi? na ukitoka kwenye Ukatibu ni unakwenda kuwa Naibu Waziri, baada ya hapo ni kifuatacho ITV
Umeeleza vizuri ila hapo kwamba akitoka hapo anakwenda kuwa Naibu Waziri ni Uongo
 
Umeeleza vizuri ila hapo kwamba akitoka hapo anakwenda kuwa Naibu Waziri ni Uongo
Sijasema akitoka hapo anaeenda kuwa Naibu Waziri, na hata hivyo pia inawezekana akawa Naibu Waziri, muda sio mrefu anaenda kugombea ubunge huko kwao Zenj, na ni kama kumsukuma mlevi
 
salva ndo aliimudu vema hiyo nafas.
Anaendesha bodaboda sikuhizi

1717693379935.png
 
Back
Top Bottom