kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Wakati mnamlaumu ,tambueni zuhura kafaidika na mengi
Kupata mume
Kapanda cheo kutoka usemaji mpaka katibu mkuu msaidiz
Kupata mume
Kapanda cheo kutoka usemaji mpaka katibu mkuu msaidiz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).
Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama mpaka katolewa Ikulu? Au ndio anapikwa kuja kuwa Waziri baadaye?
Kuna mtu alidokeza X Zuhura anataka kuondolewa... je, kuna fukuto nyuma yake? Baadhi ya majirani zetu Kenya walimpa za uso Zuhura baada ya details za mkopo wa Korea kuvuja. Je, hii ndio inaweza kuwa sababu?
=====
Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano I
Huyu alikula Chuma mapema sana mara baada ya Magufuli kulihutubia Bunge alianza kuliwa kichwa huyu Salvasalva ndo aliimudu vema hiyo nafas.
Salva tenaHuyu alikula Chuma mapema sana mara baada ya Magufuli kulihutubia Bunge alianza kuliwa kichwa huyu Salva
your a real cute wife,mwanamke sifa ya kwanza usi panick😂😂😂😂 kwahiyo kukosea hapa tu ndio nna hewa kichwani, acha hizo Mkuu
Boss mwenyewe alikuwa front thn media itself so msigwa hakuwa n kazi kubwaMtu pekee aliyeitendea haki kurugenzi ya habari ni Msigwa, alijua kum-brand boss wake, japo alikuwa chinja chinja
Hivi km ujui kitu Kwann hukai kimya?Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ni cheo Kikubwa kuliko Mkurugenzi-ki msingi amepanda cheo.
Katibu Mkuu>>Naibu Katibu Mkuu>>>Mkurugenzi>>>>Mkurugenzi Msaidizi.
Hujui kitu ww…😂😂😂😂 Ww hamna kitu kichwan!.
Ipo hv
1.Waziri
2.Naibu waziri
3.Katibu mkuu
4.Naibu katibu mkuu
5.Mkurugenzi(Kama alivyokuwa zuhura)
6.Naibu mkurugenzi
Bro ukishindana na hao vyura utaumiza kichwa..😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ulale Unono 😃
Bro achana na huyo mjuaji…Asante kwa elimu Mkuu mambo yamekaa sawa, ila kunyamaza ndio sinyamazi
Ila hii Dunia kizungumti kakaa uingereza ulaya miaka kibao usichana wake wote hakupata mume huko kastaafu kaja bongo kikongwe uzeeni kapata mume chapchapWakati mnamlaumu ,tambueni zuhura kafaidika na mengi
Kupata mume
Kapanda cheo kutoka usemaji mpaka katibu mkuu msaidiz
Ndomana umekula ban akili kisoda 🤣😂😂😂😂 Ww hamna kitu kichwan!.
Ipo hv
1.Waziri
2.Naibu waziri
3.Katibu mkuu
4.Naibu katibu mkuu
5.Mkurugenzi(Kama alivyokuwa zuhura)
6.Naibu mkurugenzi
Kashushwa cheo tena sn tuuZuhura kapandishwa cheo tuache ujuaji
Tatizo watanzania uwezo wa kufikiri hatuna…Ila hii Dunia kizungumti kakaa uingereza ulaya miaka kibao usichana wake hakupata mume kastaafu kaja bongo kikongwe uzeeni kapata mume chapchap
Tatizo Tanzania elimu dogo.Ameshuka. Lambda kwenye kula hela ndio amepanda.
Kurugenzi ya Ikulu huwezi linganisha na wizara. Mda ule alikuwa na uwezo wa kuwaita mawazir wote Sasa hivi no.
🤣🤣🤣Kuwa Naibu Katibu Mkuu ni kushushwa cheo. Wengine muwe mnasubiri maelezo ya wanaoelewa mambo. Itawasaidia kuficha upumbavu
Kutoka ikulu n kushushwa cheo, hakuna definition nyingineKule alikoenda hakuna kazi. Atasugua benchi sana. Ikulu kuna mkwanja mrefu. Kila Rais akiondoka kwenda safari tu ni dollar na hata safari za ndani ni per diem ndefu.