Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kusema hakujua anatuona SI wajinga kwakweli,mpaka mtu unajiuzulu BBC,baada ya siku moja unateuliwa halafu unasema hukujua, nitakuwa wamwisho kuamini hiloKwa Hiyo Anatupiga Fix?
Wabongo Shida Yetu Hatuko Wazi. Ingekuwa Kwa BIDEN, Unamteua Mtu, Unampa Taarifa Anakuambia "I'm Delighted, No Thanks" ... Bongo Sasa
Huyu ameanza uongo mapema sn, kabla ya kuteuliwa lazima ufanyiwe vetting ya personal na ya siriView attachment 2105667
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.
Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.
Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!
Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!
Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!
Source: BBC Swahili
Ni muuongo huwezi kuteuliwa bila kuulizwaSidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Anatuzuga tu huyuNasimama na wewe.
Huyu alishataarifiwa tangu mapema ndipo akafanya taratibu za kuondoka BBC, alipoondoka ndipo akatangazwa rasmi
Ni muuongo huwezi kuteuliwa bila kuulizwaSidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Ameanza kuwa muongo mapema sn, bahati mbaya hatuna hata waandishi wadadisi zaidi ya waganga njaaAnatuzuga tu huyu
SureNi muuongo huwezi kuteuliwa bila kuulizwa
Hafai maana ameanza uongo kabla hata ya kufika IkuluSure
Yule mkwere ni msanii!!Kiboko ni Jk kuwa alipata habari ya msiba wa JPM kwenye Tv ahaaaaa
Wengine wanaamshwa na I think am done with you na block [emoji724] kila kona.Umelala unaamshwa unakumbana na teuzi
Safi sana
Ova
Kwa sababu una amini huaminiMimi siamini japo sijui kwanini siamini
Teh tehWengine wanaamshwa na I think am done with you na block [emoji724] kila kona.
Unaamka unakumbushwa marejesho ya Mpawa.
Unaamka na simu unaambiwa aisee hatunaye Tena.. fanya haraka uje na pesa kwani huku hakuna kitu wala mtu..
MUNGU huyu
Hapo kwa kikeke ni kweli kabisa maana nae alianza kuaga kule bbc wakasema anarudi nyumbani!Si kweli. Uteuzi kama unakunyemelea kuna aina mbili wapo wateuliwa wanaloby au kuanza kuulizia ulizia nafasi fulani napenda nifanyekazi na wengine wanateuliwa kwa uwezo wao.
Tetesi huwa zinaanza mapema japokuwa inaweza isifahamike ni nafasi gani haswa unateuliwa lazima alipokea emails na simu pia kumuuliza kuhusu kurudi nyumbani kufanya kazi. Lazima wakuandae kisaikolojia. Na ni haki ya mteuliwa kujua job description na benefit package.
Navyohisi hii nafasi alitaka apewe kikeke lakini akachomoa ndio wakaona wampe Zuhura.
Naona wabongo wamekomaa na uraia wake ila wamesahau kwamba Hata Salva alikuwa na residency ama sio uraia wa UK maana mkewe na wanae wote makazi yao yalikuwa kwa malkia.a
Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
View attachment 2105667
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.
Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.
Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!
Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!
Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!
Source: BBC Swahili
Sijalelewa maporini kwa kunifanya nione tofauti ya watu kupitia makabila yao, dini zao, au asili zao! Nimezaliwa na kukulia kwenye maeneo yenye mchanganyiko wa watu wenye dini, makabila, na asili tofauti!Kama angehusisha huo uteuzi na jinsia yake au U-zanzibari wake huenda ungemuelewa ?
Ukioa hapo ni mateso!Hana mume wala mtoto, sijui ana shida gani.
Huyo nadhani yeye hajui kwamba watanzania wa sasa sio wale aliowaacha back on14 years past.View attachment 2105667
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.
Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.
Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!
Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!
Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!
Source: BBC Swahili
[emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Mbona kaanza mapema ku Adopt Tabia za wanaCCM [emoji848]
Michongo tu kupeana ulaji wapwani. Huyu alikua anamnanga jpm BBC sasa mama kampa kamba ya mbuzi refu ale hela ya umma.View attachment 2105667
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.
Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.
Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!
Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!
Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!
Source: BBC Swahili
Ulitaka asemeje?View attachment 2105667